Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,436
- 1,769
Mwenyezumungu hawezi kumpa kila mja na pia kuna binaadamu wenye uhitaji maalum. Kutokana na hilo ndio maana kuna omba omba katika jamii zetu na kwingineko duniani.
Ukiacha hawa omba omba niliowaongelea hapo juu, ni omba omba gani wengine ambao wanashamiri kwa kasi sana!? Ambao mkipeana namba ya simu tu..mama anaugua, gesi inaisha, nywele zinafumuka, luku inaisha, simu inaharibika, kodi inaisha na vocha inaisha??