Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma Tena utaelewa, 156 inaangukia kwenye kundi gani hapo,? Pia katika huyo bei ongeza elfu kama ada ya file kuweza kukaliwa yaani ada ya maombi(application fee)Mbona hiyo table umeisoma vibaya, kwa eneo la ukubwa uisozidi 200 sq M gharama haifiki 200000 Tsh. Pia nauliza, kwani hzo gharama zinatofautina halmashauri moja na nyingine au zipo uniform?
Njoo Chanika, kibali ni kiwanja chako tuWakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement!!
Tutafakari gharama za kibari cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni zilivyokubwa zilizo tiwa baraka na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa manispaa!
Bei ya kibari cha ujenzi wa nyumba ndogo kabisa ya vyumba vitatu na sebule kwenye kiwanja cha upana (12m kwa 13m) ambapo ni sawa mita za mraba 156 ni TSh 200000 (laki mbili) na ada ya maombi ni Tsh 50000 JUMLA NI 250000/=
Ikumbukwe hapo hujajumlisha gharama za michoro ya ujenzi na Nauli za saveyi ambapo ukiongeza na huyo 250k zaweka fikia laki Saba jumla!
250000 ni sawa na mifuko 17 ya cement inatosha kabisa kujenga msingi!
Kwanza kwanini msitoze Square mita moja hata tsh 200? Ili watu wengi watamani kuja kuomba kibari?
View attachment 1631309
Kila mahali kwasasa hapa Dar, sijui kwa mikoaniNi kila mahali (Tz) UKitaka kujenga lazim upate kibali au Ni kitamboni tu?
Ebu waza nyumba ndogo kama ya vyumba vitatu wanataka pesa nyingi hivi za nini?Hizi ni za nini?
Serikali inachukua mapato kila sehemu.
1 manunuzi ya kiwanja.
2 kibali
3 mchoro
4 material
5 kodi (kwa watumishi)PAYE
6 kodi ya jengo kila mwaka.
Hii ndo serikali ya wanyonge au wanyongwa?
Kuanzia lini?Wakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement!
Tutafakari gharama za kibari cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni zilivyokubwa zilizo tiwa baraka na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa manispaa!
Bei ya kibali cha ujenzi wa nyumba ndogo kabisa ya vyumba vitatu na sebule kwenye kiwanja cha upana (12m kwa 13m) ambapo ni sawa mita za mraba 156 ni TSh 200,000 (laki mbili) na ada ya maombi ni Tsh 50,000 JUMLA NI 250,000/=
Ikumbukwe hapo hujajumlisha gharama za michoro ya ujenzi na Nauli za saveyi ambapo ukiongeza na huyo 250k zaweka fikia laki Saba jumla!
250,000 ni sawa na mifuko 17 ya cement inatosha kabisa kujenga msingi!
Kwanza kwanini msitoze Square mita moja hata tsh 200? Ili watu wengi watamani kuja kuomba kibali?
View attachment 1631309
Nawaona huwa wanazarau wakati hawana pesa,Umejuaje mjumbe?.
Tangu walivyoanzaKuanzia lini?
Tangu walivyoanza
Malipo ni ya control number, halafu inaonesha ukubwa wa eneo! Wewe hiyo listi ya mkono ulilipia kitu gan
Duh! Wacha nikakiuze tuu changu nikajenge huko kilwaWakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement!
Tutafakari gharama za kibari cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni zilivyokubwa zilizo tiwa baraka na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa manispaa!
Bei ya kibali cha ujenzi wa nyumba ndogo kabisa ya vyumba vitatu na sebule kwenye kiwanja cha upana (12m kwa 13m) ambapo ni sawa mita za mraba 156 ni TSh 200,000 (laki mbili) na ada ya maombi ni Tsh 50,000 JUMLA NI 250,000/=
Ikumbukwe hapo hujajumlisha gharama za michoro ya ujenzi na Nauli za saveyi ambapo ukiongeza na huyo 250k zaweka fikia laki Saba jumla!
250,000 ni sawa na mifuko 17 ya cement inatosha kabisa kujenga msingi!
Kwanza kwanini msitoze Square mita moja hata tsh 200? Ili watu wengi watamani kuja kuomba kibali?
View attachment 1631309
Lakini na mamlaka zinachangia
Mbona kibali ni laki moja huku halmashauri tatzo mko kwenye majijiWakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement!
Tutafakari gharama za kibari cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni zilivyokubwa zilizo tiwa baraka na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa manispaa!
Bei ya kibali cha ujenzi wa nyumba ndogo kabisa ya vyumba vitatu na sebule kwenye kiwanja cha upana (12m kwa 13m) ambapo ni sawa mita za mraba 156 ni TSh 200,000 (laki mbili) na ada ya maombi ni Tsh 50,000 JUMLA NI 250,000/=
Ikumbukwe hapo hujajumlisha gharama za michoro ya ujenzi na Nauli za saveyi ambapo ukiongeza na huyo 250k zaweka fikia laki Saba jumla!
250,000 ni sawa na mifuko 17 ya cement inatosha kabisa kujenga msingi!
Kwanza kwanini msitoze Square mita moja hata tsh 200? Ili watu wengi watamani kuja kuomba kibali?
View attachment 1631309
Mimi wakati nafuatilia kibali cha ujenzi nilicheka sana. Nilipigwa danadana mpaka nikaona bora nihonge tu yaishe maana la sivyo ningemaliza hela yote ya ujenzi kabla kibali hakijatoka.Gharama ni kubwa sana !
Halafu huo urasimu katika kuomba hata kukipata hicho kibali utachoka mwenyewe!
Yani upitie serikali ya mtaa uende Halmashauri, umchukue afisa mipango miji akachukue coordinates na umlipe posho, akishachukua cordinates usubiri hadithi na nenda rudi danadana na wewe, ikifika wizara ya ardhi ndiyo kabisaaaa kukatishwa tamaa kwisha na mwananchi kuanza kugairi kuanza kujenga eneo husika!