Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Ushawahi kuiacha familia yako kwa zaidi ya mwaka? Ukaishi ugenini?Upweke ni kitu cha kujiendekeza, kwanza kwann uwe mpweke??
Na upweke wa nini? Mbona ulikuwa kwenye tumbo la mama yako peke yako na ulikuwa unaruka na kupiga mateke kwa furaha, iweje umetoka umekutana na watu na vitu vya kukuchangamsha uanze kuwa mpweke??
Songea kuna mahali inaitwa Mbinga Ase acha kabsaa.Songe
Songea ni shamba hamna mji
Familia ipi? Ya nilikotokea au niliyoainzisha??Ushawahi kuiacha familia yako kwa zaidi ya mwaka? Ukaishi ugenini?
Mbinga uwanja wangu huo nyumbani kwa mama mkubwa. Kuna ki-club kimoja hivi pale stand upande wa geti la kutokea mabasi vidada vya pale nishavitembea sana libolo sema kule ukimwi nje nje kwaiyo condom muhimuSongea kuna mahali inaitwa Mbinga Ase acha kabsaa.
Nadhan Kahumba Moro n Moja ya sehemu Kongwe Sana ya umalaya TanzaniaUy
Uyo kaenda kitambo usimlaumu,ila chugga kama alivyosema ni balaa yaani Kila club lazima ukute wanajiuza tukianza na Picnic pale,XO, Pinpoint, billionaire club,the boss ,the Don yaani ni Kila club kama pale kaloleni ndo jehanamu Bado mianzini nk,kwa Moro moto sio mkubwa sana sana ni kuanzia Kihonda Hadi mjini kati ndo wadada wanajiuza sana,yaani samaki samaki,club ile kubwa ya pale msamvu,mjini kati Kuna jehanamu inaitwa Kahumba😀😀
Singida unazungumzia Mtaa wa Mwenge na Kirika night Club pale kuna ushenzi sana wale hapana kwakweli afu kama kuna mademu classic nipo chimbo hapo Singida mkuu naenda sanaUkifika Kahama ndiyo utajua kuwa papuchi hazina thamani, Tabora fika maeneo ya Oxygen, Singida bababara ya Arusha jina la pub nimesahau patakufaa kukata kiu
Lamomy kumbe wewe ni mwanamke....Familia ipi? Ya nilikotokea au niliyoainzisha??
Km wazazi hata bible inasema nitawaacha wazazi wangu na nitaungana na mtu mwingine.!
Km ni ya kwangu hiyo pia haisumbui sababu siku nikifa itakuwaje? Ww km umeenda kutafuta maisha wapigie video call hakikisha mpk mbwa wako unaongea nao 😂😂😂
Ukijipata ifate familia yako au rudi uendelee kuishi nayo.!! Halafu kwanza wanaume waongo nyie!! Mbona mnatelekezaga familia zenu mnahamia kwa nyumba ndogo na hamuwi wapweke 🤣🤣🤣
Mkoa wa Kifala. Mwaka jana nilienda aisee hawana pub ya maana. Ilikua moja inaitwa Chichi nadhani imefungwa.Tanga hapana isee dem mnaingia room havui nguo hadi uzime taa au anaenda kuvulia chooni akirudi unashangaa huyu alikuwa na tarkoo limeenda wapi. Unaeza kuhisi umeopoa jini isee.
Chichi ina wale bei rahisi zaman kulikuwa na la vida loca mkabala na chichi na la casa chica sijui kama bado ipo kimsingi tanga imefubaa mnoMkoa wa Kifala. Mwaka jana nilienda aisee hawana pub ya maana. Ilikua moja inaitwa Chichi nadhani imefungwa.
G pub Kigoma kama sisimizi.
Ilibidi nipitie huu uzi.Nadhan Kahumba Moro n Moja ya sehemu Kongwe Sana ya umalaya Tanzania
Wazinzi bhana mnateseka sanaDar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni chaap hata uhangaiki, ukitaka first class mpaka wale wa lower class ni wewe tu.
Ukiachana na wanaojiuza pia dar es salaam kupata mpenzi ni rahisi saaana utelezi upo nje nje ni wewe tu kupambana, ukiweza hata kufanya mapenzi daily ni nguvu zako tu.
Mfano halisi ni huu ikifika jioni watu ndio wanakua wengi saana wanakua wametoka kwenye mishe mishe wengine wanaenda mishe inategemea na sehemu ulipo, nilikua nakaa pale manzese mkunguni aisee kila utakaye muita hazingui namba ni rahisi kukupa na ukionyesha interest ni wewe mwenyewe tu, so kwa siku unaweza kukusanya namba na kazi yako ikawa ni kucharaza bakora tu (hapa hela lazima zikutoke pia)..
Tuachane na Dar turudi kwenye mada husika, katika hustling za maisha nimetembea mikoa mingi Tanzania ni mikoa michache sana sijafanikiwa kukaa.
Mwanza, tabora, shinyanga, singida, Moshi, Tanga, katavi, Lindi, mtwara, songea, iringa, Dodoma, morogoro, pwani n.k ni mikoa ambayo nimepita na kukaa kabisa.
Mkoa kama Kilimanjaro kupata utelezi sio kirahisi rahisi lazima ulie sana yani mpaka mdada wa kichaga akuonee huruma lazima ulie sana unaweza enda kikazi mwezi mzima na utoke kapa, zamani madada poa walikuwa wanaiipanga pale Malindi nowdays hawapo hata wakiwepo ni kwa kiwango kidogo labda uende Redstone unaweza kuokota but jipange kumnunulia mdada pombe za 40,000 ndio uondoke nae.
Mwanza pia kupata utelezi sio rahisi saaana ila zamani walikuwa wanajipanga pale uwanja wa CCM Kirumba nakumbuka miaka hiyo ya utoto nilivyofika Mwanza kwa Mara ya kwanza nikazunguka uwanja wa CCM Kirumba kwa nyuma pale kuna club inaitwa Villa (kama sijasahau) nikamchomoa mdada mmoja hapo akaniambia buku 2 unapiga kwenye majaruba ile nimevaa condom tu hata sijaanza shughuli nikatolewa baru na maaskari sijui ni vibaka wale nilikimbia mbio vibaya mno huku condom huko kwenye dhakhari sikugeuka nyuma, niliachaga ndala zangu pale.
Nimerudi Mwanza nikiwa mtu mzima pale villa hapajachangamka tena kama zamani wale machokoraa waliokua wanauza kwa buku 2 wamehamia Cask na Bundesliga, na Malaika beach na Tnza wakiuza kwa bei juu mno.
Kigoma nilifanikiwa kupita huu mkoa wazee unaweza kukaa mwaka na hujapata mpenzi mdada yoyote ambae hajaolewa ukijaribu kugusa lazima akwambie uende kwao (kwa wazazi wake)...labda maeneo ya Ujiji na huko Ujiji ukipata demu jiandae kurogwa tu.
Ukiwa mtu wa bata labda ushuke the Breezy au sehemu wanapaita kwa mchaga japo wanaojiuza sio wazuri wamekomaa kinyama.
Turudi sasa Arusha!
The first time naingia Arusha kwa kazi maalumu nilikaa na mdada mmoja wa ki-Arusha kwenye bus aikuchukua muda tulivyofika mjini nikajaribu kuonyesha interest nikaona kama amejaa, nikawa najiuliza mbona wanasemaga wachuga ni wagumu?
Katika matembezi yangu nikadondokea Shivaz aiseee hapo ni laaana wanawake ni weeengi mno wengine watoto hapo utelezi ni mwingi mnoooo ni condom zako kiukweli Mwanza sijaona sehemu kama Shivaz,
Nilizunguka maeneo mengi kweli Arusha ni noma watoto weupeee yani Mimi nilikuwa nachanganyikiwa tu, omba usifike Karatu, Babati, Mbulu, Endasaki, Dongobesh utaiacha familia yako.
Tunaingia mwaka 2023 kwa kauli mbiu moja tu, Focus Focus Focus aluta continua hakuna kukata tamaa wala kurudi nyuma.
Christmas njema!
Prakatatumba etumba etumba abaabaaabaaabaaa
Tanga hapana isee dem mnaingia room havui nguo hadi uzime taa au anaenda kuvulia chooni akirudi unashangaa huyu alikuwa na tarkoo limeenda wapi. Unaeza kuhisi umeopoa jini isee.
Iyo njia ya kupandisha mianzini ukitokea stand kubwa iyo Florida Cha Mtoto Kuna Pinpoint kwa mbele yake mule Kuna malaya balaa😀😀Arusha imekuja kwa kasi mno hapo mtaa wa Florida vitoto vidogo kweli vinajiuza
Kwa msiojua Florida ni nyuma ya ofisi za BM coach Arusha
Hapa kuna mahali familia tunakosea na kukosa hofu ya Mungu
Manyara ni noma Kuna pisi za kimburu zikija mjini kama Dar zitasumbua maana Dar wanaushamba na mademu weupe,kwa mfano yule WA mabasi ya tilisho ukienda kule kama wote,ukichunguza ata mademu wakitoka chugga eti wanapenda kuwa masuper star Dar watu WA Dar washamba sanaUmenikumbusha shivaz aisee nishawahi kutalii sana pale kipindi nipo chuga. Karatu napo anatokea future wife uko siku ya kwanza kwenda bado kidogo moyo ubadilishe maamuzi pale pale stendi unakuta mtoto mzuriiiii unaona kabisa huyu akija mjini atasumbua sana halafu ni muhudumu wa mama ntilie na mwenyewe yupo bize na pilika pilika pale hana habari
Yule demu konda wa mabasi alivuma.mtandaoni mpaka unashangaa ana nini special. Nimesoma chuo Arusha miaka mitatu chuga kuna mademu wakali, nimetembelea singida nimetembelea karatu kuna watoto wazuri yaani yule konda anatolewa knock out mapema kabisa.Manyara ni noma Kuna pisi za kimburu zikija mjini kama Dar zitasumbua maana Dar wanaushamba na mademu weupe,kwa mfano yule WA mabasi ya tilisho ukienda kule kama wote,ukichunguza ata mademu wakitoka chugga eti wanapenda kuwa masuper star Dar watu WA Dar washamba sana