Ukiachana na Dola, Simba, Yanga, Harmonize na Diamond jambo gani tena linaifanya CHADEMA isiungwe mkono na wananchi walio wengi?

Ukiachana na Dola, Simba, Yanga, Harmonize na Diamond jambo gani tena linaifanya CHADEMA isiungwe mkono na wananchi walio wengi?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza.

Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection].

Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
 
Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza.

Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection].

Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
introspection


Chadema ndo chama kikuu Tanzania hapa .

Sasa sijui unataka kiungwe mkono kuvipi.
 
Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza.

Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection].

Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
Kumshambulia Magufuli.

Hii ni karata nyingine wapinzani wanajifunga own goal.
 
Dunia ya sasa ukiwa,Una,nguvu mtandaoni maana yake you can rule the world

Chadema mitandaoni wamewaacha mbali Sana ccm
Kizazi hiki, ndicho kitaitoa ccm kama isipotoka sasa. Hawa ni vijana walioelimika toka mashuleni/vyuoni wengi wao hawajaingia katika sector nyeti, wameweza kumiliki uwezo wa kuwa mtandaoni. Nje ya hapo ni wazee wanaoijua ccm ya nyerere, hao huwaambii kitu hata mgombea wa ccm akiwa kinyesi watachagua tu.
 
Kizazi hiki, ndicho kitaitoa ccm kama isipotoka sasa. Hawa ni vijana walioelimika toka mashuleni/vyuoni wengi wao hawajaingia katika sector nyeti, wameweza kumiliki uwezo wa kuwa mtandaoni. Nje ya hapo ni wazee wanaoijua ccm ya nyerere, hao huwaambii kitu hata mgombea wa ccm akiwa kinyesi watachagua tu. Hoki mu
Hakika
 
Back
Top Bottom