Ukiachana na kichaka cha kuita wachunguzi wa nje, CHADEMA haiwezi kujitoa kwenye sakata la Mauaji wa kibao .

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi namba za watekaji ,kumuacha mnyika nje ya uchunguzi litakuwa jambo la hovyo sana.

Mnyika huyohuyo akawa wa kwanza kutangaza ulipookotwa mwili wa kibao dk chache tu baada ya kuokotwa na kuifahamisha familia yake badala ya kuachia serikali kwa maana ya hospitali,polis na serikali ya wilaya, Hili ni kosa kubwa huwezi kumuacha nje ya kesi .

Mnyika kukataa kufika polisi kutoa ushirikiano ,wapi alipata taarifa alizokuwa anazitoa ,kwanini agome kama hahusiki

Kama polisi ya Tanzania inataka kudhalilika kimataifa ni kukicha mnyika nje ya uwanja wa uchunguzi

Ngoza siku utaposingiziwa kesi kubwa ya kubaka ndio utaijua dunia kwamba haina mwenyewe. Utakuja kufuta ulichoandika
 
  • Thanks
Reactions: apk
Uadilifu Hata kwa Adui

Qur'an pia inasisitiza kuwa uadilifu lazima udumishwe hata kama mtu anayehukumiwa ni adui.

Katika Surat Al-Maida (5:8), Mwenyezi Mungu anasema:"Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimamia uadilifu, kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na msishurutishwe na chuki dhidi ya watu wengine kutowatendea uadilifu. Tendeni uadilifu, hiyo ndiyo iliyo karibu sana na uchamungu, na muogopeni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu anazo habari za mnayoyatenda.

"Hii inaonyesha kuwa hata kama kuna hisia za uadui dhidi ya mtu au kikundi, chuki hiyo haipaswi kuwa kisingizio cha kuhukumu kwa upendeleo au dhulma. Badala yake, waumini wanaamrishwa kudumisha uadilifu kwa kila hali.
 
Vp yule aliyewaambia Polisi tukiwapoteza msiwatafute. Vp yule aliyesema ni viji drama tu? Alijuaje kuna viji drama kama siyo mhusika mkuu?? Watz siyo Wajinga.
 
Aibu naona mimi.
Ila unapata faida gani unapoamua kudanganya?nini malengo yako?
Chadema siku hizi wana miliki bunduki?
 
Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi namba za watekaji ,kumuacha mnyika nje ya uchunguzi litakuwa jambo la hovyo sana.

Mnyika huyohuyo akawa wa kwanza kutangaza ulipookotwa mwili wa kibao dk chache tu baada ya kuokotwa na kuifahamisha familia yake badala ya kuachia serikali kwa maana ya hospitali,polis na serikali ya wilaya, Hili ni kosa kubwa huwezi kumuacha nje ya kesi .

Mnyika kukataa kufika polisi kutoa ushirikiano ,wapi alipata taarifa alizokuwa anazitoa ,kwanini agome kama hahusiki

Kama polisi ya Tanzania inataka kudhalilika kimataifa ni kukicha mnyika nje ya uwanja wa uchunguzi

USSR
Kuna watu huwa wanalike post zako nawashangaa Sana. Kwa ujinga ulionao wanakuunga mkono Kwa lipi?
 
Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi namba za watekaji ,kumuacha mnyika nje ya uchunguzi litakuwa jambo la hovyo sana.

Mnyika huyohuyo akawa wa kwanza kutangaza ulipookotwa mwili wa kibao dk chache tu baada ya kuokotwa na kuifahamisha familia yake badala ya kuachia serikali kwa maana ya hospitali,polis na serikali ya wilaya, Hili ni kosa kubwa huwezi kumuacha nje ya kesi .

Mnyika kukataa kufika polisi kutoa ushirikiano ,wapi alipata taarifa alizokuwa anazitoa ,kwanini agome kama hahusiki

Kama polisi ya Tanzania inataka kudhalilika kimataifa ni kukicha mnyika nje ya uwanja wa uchunguzi

USSR
Mimi ni mwana CCM ila hii naikataa,

Mnyika ni Mtendaji mkuu wa Chama,

Taarifa zote lazima azitoe yeye,

Tuwaache Polisi watekeleze majukumu yao,
 
Huenda alikuwa na shauku baada ya kupenyezewa taarifa... Akaongeza wahka wa kutaka kuonekana shujaa... Matokeo yake ni number one suspect
 
Vp yule aliyewaambia Polisi tukiwapoteza msiwatafute. Vp yule aliyesema ni viji drama tu? Alijuaje kuna viji drama kama siyo mhusika mkuu?? Watz siyo Wajinga.
Hehe..waTz wewe na nani?
 
Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi namba za watekaji ,kumuacha mnyika nje ya uchunguzi litakuwa jambo la hovyo sana.

Mnyika huyohuyo akawa wa kwanza kutangaza ulipookotwa mwili wa kibao dk chache tu baada ya kuokotwa na kuifahamisha familia yake badala ya kuachia serikali kwa maana ya hospitali,polis na serikali ya wilaya, Hili ni kosa kubwa huwezi kumuacha nje ya kesi .

Mnyika kukataa kufika polisi kutoa ushirikiano ,wapi alipata taarifa alizokuwa anazitoa ,kwanini agome kama hahusiki

Kama polisi ya Tanzania inataka kudhalilika kimataifa ni kukicha mnyika nje ya uwanja wa uchunguzi

USSR
Embu ondoa upuuzi wako hapa. Mnajiona KGB wenyewe..
 
Usiseme CHADEMA, sema baadhi ya viongozi wakiongozwa na Freeman Mbowe akishirikiana na kikosi kazi cha siri cha wasiojulikana cha Bi Samia Suluhu Hassan na CCM...

Kina Tundu Lissu wameshajua haya. Wameweka akiba tu lakini ukifika wakati, na ikilazimika kila kitu kitakuwa wazi...
 
Back
Top Bottom