USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi namba za watekaji ,kumuacha mnyika nje ya uchunguzi litakuwa jambo la hovyo sana.
Mnyika huyohuyo akawa wa kwanza kutangaza ulipookotwa mwili wa kibao dk chache tu baada ya kuokotwa na kuifahamisha familia yake badala ya kuachia serikali kwa maana ya hospitali,polis na serikali ya wilaya, Hili ni kosa kubwa huwezi kumuacha nje ya kesi .
Mnyika kukataa kufika polisi kutoa ushirikiano ,wapi alipata taarifa alizokuwa anazitoa ,kwanini agome kama hahusiki
Kama polisi ya Tanzania inataka kudhalilika kimataifa ni kukicha mnyika nje ya uwanja wa uchunguzi