Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Jina pia unatumia la kiswahili?

Jr[emoji769]
Ulitaka niandike Brayani Sipilina?? Au ulitaka nitafute kiswahili cha neno Spilner na Brian?.

Kwenye uhalisia wangu sipendi mtu anayejifanya nadhifu ndani ya kichwa ili kupata mashabiki.

Jina ninalotumia ni kumuenzi marehemu aliyetumia jina hilo kwenye uhusika wake katika masimulizi ya picha.

Samahani kama nimekukwaza
 
Hapana hujanikwaza kabisa..nilikuuliza tu nipate kujua

Jr[emoji769]
 
Mkuu hizi avatar zetu ni kielelezo tosha kabisa ya maisha na uhalisia wetu nje ya mitandao,,
Fuatilia avatar ya mtu,,,
Fuatilia comments zake,,
Utakubaliana na mm,,lakini kitendo cha mtu kujieleza humu bado ataendelea kudanganya uhalisia,,
Nenda kwenye avatar mkuu..zinajieleza kila kitu..
Upole wa mtu,
Umwamba,
Ustaarabu,
Kukubali yaishe,,
Kutokubali kushindwa,,
Mpambanaji,
Marioo,,
Mdangaji,
Mcharuko,,
Jinsia tata,,
Bushoke,,
Nk
 
Kwa mfano mimi avatar yangu inasemaje?
 
upo sahih mkuu.
 
Mimi mtu mpweke sana sina rafiki, simwamini mtu yoyote. Nakunywa sana pombe na uzinzi pia ni mchapakazi hodari sana nina tuzo tatu.
 
no.4 πŸ“ŒπŸ”¨
 
Hahahaha, duh
 
Hahahaha ,OK OK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…