Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Ukiachana na tabia za kimtandao wewe ni mtu wa aina gani?

Jina pia unatumia la kiswahili?

Jr[emoji769]
Ulitaka niandike Brayani Sipilina?? Au ulitaka nitafute kiswahili cha neno Spilner na Brian?.

Kwenye uhalisia wangu sipendi mtu anayejifanya nadhifu ndani ya kichwa ili kupata mashabiki.

Jina ninalotumia ni kumuenzi marehemu aliyetumia jina hilo kwenye uhusika wake katika masimulizi ya picha.

Samahani kama nimekukwaza
 
Hapana hujanikwaza kabisa..nilikuuliza tu nipate kujua

Jr[emoji769]
 
Natumai hamjambo wanabodi,

Wakuu sio siri mitandao ya kijamii imetupatia tabia mpya ambazo katika uhalisia hatuna, tabia hizi za kimtandao zimetufanya tuwe na mbwembwe, show off, chai na mizaha mingi kupitia post na comment zetu.

Tabia za kimtandao mara nyingi hutumiwa na wahusika katika kuitafuta furaha na faraja ambayo inakosekana katika maisha halisi, tabia hii ya kimtandao inamadhara pia coz kuna baadhi huichukulia kua ndo tabia yako halisi, mfano kuna watu huku wanaweza tukana na kutoa maneno ya shombo bt katika maisha ya halisi hawawezi fanya hivo hata wakiudhiwa.

Mfano kuna huyu mwamba ZERO IQ post zake nyingi huzungumzia uchakataji wa papuchi bt unaeza kuta papuchi hizo hua anazichakata hapa mtandaoni kwa maandishi na katika maisha yake halisi ni mtu wa tofauti sana.

Binafsi ukiachana na tabia za kimtandao ni mtu mpole, mkarimu, sina maneno mengi, inshort katika maisha halisi mi ni mtu wa watu.

Je, kwa upande wako ukiachana na tabia za kimtandao we ni mtu wa aina gani?
Mkuu hizi avatar zetu ni kielelezo tosha kabisa ya maisha na uhalisia wetu nje ya mitandao,,
Fuatilia avatar ya mtu,,,
Fuatilia comments zake,,
Utakubaliana na mm,,lakini kitendo cha mtu kujieleza humu bado ataendelea kudanganya uhalisia,,
Nenda kwenye avatar mkuu..zinajieleza kila kitu..
Upole wa mtu,
Umwamba,
Ustaarabu,
Kukubali yaishe,,
Kutokubali kushindwa,,
Mpambanaji,
Marioo,,
Mdangaji,
Mcharuko,,
Jinsia tata,,
Bushoke,,
Nk
 
Kwa mfano mimi avatar yangu inasemaje?
 
upo sahih mkuu.
 
Mimi mtu mpweke sana sina rafiki, simwamini mtu yoyote. Nakunywa sana pombe na uzinzi pia ni mchapakazi hodari sana nina tuzo tatu.
 
Tabia nazoziona si ambazo huwa unazionesha sana ila mimi huwa naziona kwa kutumia jicho la tatu..
1:Mtu makini,mchangamfu unayependa masikhara pia.
2:loyal
3😛amoja na uchangamfu wako ila kwako si kila mtu anaweza akawa rafiki.
4.Unaamini sana mungu na unafuata taratibu zote za dini yako kadri uwezavyo(hii ndio sifa ninayoipenda zaidi kuhusu wewe.
Mengine siku nyingine....
no.4 📌🔨
 
Mkuu hizi avatar zetu ni kielelezo tosha kabisa ya maisha na uhalisia wetu nje ya mitandao,,
Fuatilia avatar ya mtu,,,
Fuatilia comments zake,,
Utakubaliana na mm,,lakini kitendo cha mtu kujieleza humu bado ataendelea kudanganya uhalisia,,
Nenda kwenye avatar mkuu..zinajieleza kila kitu..
Upole wa mtu,
Umwamba,
Ustaarabu,
Kukubali yaishe,,
Kutokubali kushindwa,,
Mpambanaji,
Marioo,,
Mdangaji,
Mcharuko,,
Jinsia tata,,
Bushoke,,
Nk
Hahahaha, duh
 
Hahahaha ,OK OK
 
Back
Top Bottom