Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus.
Simulizi hii inategemea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka ya 73 kabla ya Kristo (BC).
Wasichokijua wengi ni kuwa, hii series ni historia ya kweli kabisa.
Ukiacha midinyano, kipi kingine unakikumbuka kwenye hili zigo la kiwango cha lami.