Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kafie mbeleMshangazi mimi
Kafie mbeleMshangazi mimi
Andika kwa faida ya members, ndiomaana unakosaga bahati huoni wenzio mambo yote nje nje😁Njoo pm 😎
Kafie mwenyeweKafie mbele
Jina lake pleaseKama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus.
Simulizi hii inategemea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka ya 73 kabla ya Kristo (BC).
Wasichokijua wengi ni kuwa, hii series ni historia ya kweli kabisa.
Ukiacha midinyano, kipi kingine unakikumbuka kwenye hili zigo la kiwango cha lami.
View attachment 3670168
Pesa nzuri ipo, ww unataka sh ngapAndika kwa faida ya members, ndiomaana unakosaga bahati huoni wenzio mambo yote nje nje😁
Pesa nzuri unaitoa wapi wewe?Pesa nzuri ipo, ww unataka sh ngap
Ushaanza upuuzi wakoPesa nzuri unaitoa wapi wewe?
Am sorry. Kwahiyo hiyo ndio wapo hao akina papa?...?Mkuu umechanganya na movie inayoitwa perfume The Story Of A Murdered
NdioAm sorry. Kwahiyo hiyo ndio wapo hao akina papa?...?