Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Ilipoteza utamu haswa haikuwa ileKwenye blood and sand baada ya Andy Whitfield kufariki nakuigiza mwingine niliona kama movie imekata utamu kabisa
Spartacus ilikuwa ya moto sana sana. Kill them all.... Spartacus iliniitroduce kwenye movies na series ambazo plot zake ni za medieval na toka wakati huo ndio my favorite kama game of thrones,Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus.
Simulizi hii inategemea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka ya 73 kabla ya Kristo (BC).
Wasichokijua wengi ni kuwa, hii series ni historia ya kweli kabisa.
Ukiacha midinyano, kipi kingine unakikumbuka kwenye hili zigo la kiwango cha lami.
View attachment 3670168
Mpige marudio, upige puchuAzam waanze kuirusha sanane usiku tupige marudio
Hata uwaroge hawawezi rusha 😀Azam waanze kuirusha sanane usiku tupige marudio
Haijitokea hiyoBinti nakuzaa we na wanao!
Waulize wanaonijua, sio kujitungia tuHaijitokea hiyo
Nimecheka sana aseehHata uwaroge hawawezi rusha 😀
Labda siku upite uchi humu na bado huwezi acha laanaWaulize wanaonijua, sio kujitungia tu