CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ila mkuu Brown bado ni sawa na kula mihogo tena ni zaidi. Mihogo shida ni upatikanaji wake wa shida na quality piaNilishaacha kula mikate miaka mingi sasa,siku hizi Mimi nakunywa chai na mihogo ya kukaanga toka kwa mama mwajuma,au chapati za bibi mfuko,nikikisa hizo na kula sambusa za jirani yangu hapa mama mazoea,mambo ya kula chai na mikate ni ya zamani sana