Ukiachilia mbali bakery ya Super Loaf, Temeke bakery na Mtoni bakery kuna bakery gani kubwa Dar?

Ukiachilia mbali bakery ya Super Loaf, Temeke bakery na Mtoni bakery kuna bakery gani kubwa Dar?

Nilishaacha kula mikate miaka mingi sasa,siku hizi Mimi nakunywa chai na mihogo ya kukaanga toka kwa mama mwajuma,au chapati za bibi mfuko,nikikisa hizo na kula sambusa za jirani yangu hapa mama mazoea,mambo ya kula chai na mikate ni ya zamani sana
Ila mkuu Brown bado ni sawa na kula mihogo tena ni zaidi. Mihogo shida ni upatikanaji wake wa shida na quality pia
 
Kweli mkuu, mfano hawa super loaf ni balaa na mikate yao ipo very nice... Haina mshindani huuku mitaani labda warudishe mikate ya siha....
Mini bakeries (super loaf) ni kweli wana mikate mizuri na ndio bakery yenye production kubwa kuliko zote kama walivyo kenya.
 
Mikate Yangu bora ni Brown tu. Hiyo white huwa haipandi kabisa na nakulaga pale kunapo kuwa hakuna namna
Mikate ya watu wenye kisukari iyo ingawa na watu wanaojari afya zao, wanakula iyo. Ukila mkate wa Brown ukachanganya na mayai 3 na chai ya maziwa na uwe na blue band unakuwa umeongeza kitu kikubwa sana mwilini kuliko kula mihogo ya Mama Mwajuma. Samahani wakaanga mihogo. Na kama unataka upate kijana mwenye akili inabidi utumie ivyo vyakula lazima upate mtoto genius
 
Mini bakeries (super loaf) ni kweli wana mikate mizuri na ndio bakery yenye production kubwa kuliko zote kama walivyo kenya.
Kwani Super Loaf ni ya wakenya iyo Bakery
 
Mikate ya watu wenye kisukari iyo ingawa na watu wanaojari afya zao, wanakula iyo. Ukila mkate wa Brown ukachanganya na mayai 3 na chai ya maziwa na uwe na blue band unakuwa umeongeza kitu kikubwa sana mwilini kuliko kula mihogo ya Mama Mwajuma. Samahani wakaanga mihogo. Na kama unataka upate kijana mwenye akili inabidi utumie ivyo vyakula lazima upate mtoto genius
Sio kweli, hii ndo mikate iliyo kuwa inaliwa hata enzi hizo na hata sasa Asia wengi wanatumia brown.

Kama unakula Dona then unapiga mikaye mieupe hakuna unacho fanya..

Make kuna watu wanapenda Dona ila kwenye ngano wanapiga white.

Brown ni mizuri sana
 
Embu onyesha sampuli ya mkate wa Brown
 
Embu onyesha sampuli ya mkate wa Brown
Hii hapa
images.jpg
 
Poleni kwa majukumu wapendwa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa yoyote analelewa bakery kubwa ya kutengeneza bidhaa(bite) kama mikate na kuendelea katika jiji la dar tofauti na hizo bakery tajwa hapo juu pliz naomba anijuze
Mikate wanauzaje kwa bei ya jumla ?

Mini Bakery ya Supa Loaf inapatikana wapi ?
 
Back
Top Bottom