CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ila mkuu Brown bado ni sawa na kula mihogo tena ni zaidi. Mihogo shida ni upatikanaji wake wa shida na quality piaNilishaacha kula mikate miaka mingi sasa,siku hizi Mimi nakunywa chai na mihogo ya kukaanga toka kwa mama mwajuma,au chapati za bibi mfuko,nikikisa hizo na kula sambusa za jirani yangu hapa mama mazoea,mambo ya kula chai na mikate ni ya zamani sana
Asante @mibasiHio ipo keko oposite na coca cola ya zamani. Maeneo ya MSD.
Bahari kama sijasahau ipo masaki chole rd. Maeneo ya bakhresa.Hii Furaha na Bahari zipo Maeneo gani nisaidie namna ya kupafikia
Asante sana na hii FurahaBahari kama sijasahau ipo masaki chole rd. Maeneo ya bakhresa.
Kweli mkuu, mfano hawa super loaf ni balaa na mikate yao ipo very nice... Haina mshindani huuku mitaani labda warudishe mikate ya siha....Hawa wa bakeries wana supply hadi huku kwetu mkoani. hao wapika maandazi wanawezaje kushindana nao ?
Mini bakeries (super loaf) ni kweli wana mikate mizuri na ndio bakery yenye production kubwa kuliko zote kama walivyo kenya.Kweli mkuu, mfano hawa super loaf ni balaa na mikate yao ipo very nice... Haina mshindani huuku mitaani labda warudishe mikate ya siha....
Mimi huwa napenda kununua mikate yao ya brown.Kweli mkuu, mfano hawa super loaf ni balaa na mikate yao ipo very nice... Haina mshindani huuku mitaani labda warudishe mikate ya siha....
Brown bread Huwa mitamu sanaMimi huwa napenda kununua mikate yao ya brown.
Nami pia nimeanza kuitumia, iko vizuriMimi huwa napenda kununua mikate yao ya brown.
Mizuri sana kiafya kwa wale wanaojali afya zao.Nami pia nimeanza kuitumia, iko vizuri
Mikate ya watu wenye kisukari iyo ingawa na watu wanaojari afya zao, wanakula iyo. Ukila mkate wa Brown ukachanganya na mayai 3 na chai ya maziwa na uwe na blue band unakuwa umeongeza kitu kikubwa sana mwilini kuliko kula mihogo ya Mama Mwajuma. Samahani wakaanga mihogo. Na kama unataka upate kijana mwenye akili inabidi utumie ivyo vyakula lazima upate mtoto geniusMikate Yangu bora ni Brown tu. Hiyo white huwa haipandi kabisa na nakulaga pale kunapo kuwa hakuna namna
Kwani Super Loaf ni ya wakenya iyo BakeryMini bakeries (super loaf) ni kweli wana mikate mizuri na ndio bakery yenye production kubwa kuliko zote kama walivyo kenya.
Ndio mkuu.Kwani Super Loaf ni ya wakenya iyo Bakery
Sio kweli, hii ndo mikate iliyo kuwa inaliwa hata enzi hizo na hata sasa Asia wengi wanatumia brown.Mikate ya watu wenye kisukari iyo ingawa na watu wanaojari afya zao, wanakula iyo. Ukila mkate wa Brown ukachanganya na mayai 3 na chai ya maziwa na uwe na blue band unakuwa umeongeza kitu kikubwa sana mwilini kuliko kula mihogo ya Mama Mwajuma. Samahani wakaanga mihogo. Na kama unataka upate kijana mwenye akili inabidi utumie ivyo vyakula lazima upate mtoto genius
Embu onyesha sampuli ya mkate wa BrownSio kweli, hii ndo mikate iliyo kuwa inaliwa hata enzi hizo na hata sasa Asia wengi wanatumia brown.
Kama unakula Dona then unapiga mikaye mieupe hakuna unacho fanya..
Make kuna watu wanapenda Dona ila kwenye ngano wanapiga white.
Brown ni mizuri sana
Hii hapaEmbu onyesha sampuli ya mkate wa Brown
Mikate wanauzaje kwa bei ya jumla ?Poleni kwa majukumu wapendwa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwa yoyote analelewa bakery kubwa ya kutengeneza bidhaa(bite) kama mikate na kuendelea katika jiji la dar tofauti na hizo bakery tajwa hapo juu pliz naomba anijuze
Ipo Sinza Barabarani ya shekilango jirani na legal hotelMikate wanauzaje kwa bei ya jumla ?
Mini Bakery ya Supa Loaf inapatikana wapi ?