Ukiachwa halafu hauna mahusiano mengine

Ukiachwa halafu hauna mahusiano mengine

Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu!hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea!
Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha yakikufika unamtoa kutoka kwenye friend zone hadi bad zone!
Usije ukasema hukuambiwa
[emoji123]mbinu zangu kabisa hizi naziona, ndani ya 24 hours huwa ni deal done.
 
Raha ya kuachwa ni kulia ugaregare.

Halafu unaamka unajikung'uta vumbi unapenda tena.

Unaumizwa Tena ila fresh tu. Unapambana kiume.

Backup ni umama na uoga wa maisha. Lol
[emoji16][emoji16] Huku ukiita Hamidaaa.,
 
Ukitaka kuinjoi maisha na usiyumbishwe na mahusiano, hakikisha at any time t una wanawake angalau watatu ambao unajitafunia taratibu. Na kati ya hao usiwekeze zaidi ya asilimia 30 ya moyo wako kwa hata mmoja.
Hahaah mabaharia siku hizi wapo nchi kavu
 
Watoto wa kike hawaelewi ndio maana kwao ni rahisi kusema “sijiskii”,“nimechoka” au tutafanya kesho!
Yani hii kauli ya tutafanya kesho huwa inanifanya nipate homa kabisa nakuwa mgonjwa yani hadi anauliza kwani baba leo unaumwa, mbona ipo hivyo.
Ila ni ile kauli yake ya tutafanya kesho baba angu mimi nipo tu usjari..
 
Hahahahah laiti ungejua ugumu wa kupambana na genye ukiwa kama dume ndio ungeelewa!

Kwenu nyie si mnakaaga hata miaka mitano kama hujapata mtu wa kukutekenya mbavuni na kutomasa chuchu unadunda tu! Ashki zenu nyie ni mpaka ushikwe shikwe ila kwa sie madume macho tu yanaweza kukuponza 😂😂😂! Sometime unaamka tu na kiraruraru mashine haitaki kushuka inataka haki yake sasa kama huna namna ndio utaskia jamaa kabaka kuku, mara mbuzi au kamdandia chizi!
Hzo za kubaka kuku sio hisia tena bali ni uwendawazimu
 
Hili ndo linaloniandama mpaka sasa hadi kichwa kinauma uongo mbaya
 
Hili ndo linaloniandama mpaka sasa hadi kichwa kinauma uongo mbaya
Kipi sasa kutemwa wakati hauna kitu?

Cha kwanza kubali hauna kitu. Then kubali kuachika. Then tumia hasira ya kuachwa kisa hauna kitu ikupe nguvu ya kupambana upate kitu.

Ila katika kusaka mapenzi ya kweli, kama yatatagemea wewe kuwa na kitu basi na hapo umefeli. Hakunaga mapenzi ya hivyo. Ya kutegemea solely hicho kitu anachosema Muuza simu used
 
Sio kwamba sina kitu la hasha ila kuna kipindi nilipuuzia michepuko ikafika mahali tukatengana na mwenzangu sikuwa na mbadala kwa hiyo hadi leo miezi mitano niko peke nikijaribu kuaproach nakpuuzia hata sijui kwa nini inakuwa hivi
 
Sisi wanawake ni wa ajabu sana.

Ukitufata kinyonge hutupati ng'o.

Unaweza kuwa huna mia mfukoni ila approach yako tukakuelewa ki hivyo tu yaani.

Acha unyonge wewe. It seems bado unaishi kwenye mahusiano yaliyopita. Angalia mbele changamka.
 
Back
Top Bottom