Daz911
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 742
- 1,238
[emoji123]mbinu zangu kabisa hizi naziona, ndani ya 24 hours huwa ni deal done.Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu!hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea!
Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha yakikufika unamtoa kutoka kwenye friend zone hadi bad zone!
Usije ukasema hukuambiwa