Ukiachwa halafu hauna mahusiano mengine

[emoji123]mbinu zangu kabisa hizi naziona, ndani ya 24 hours huwa ni deal done.
 
Raha ya kuachwa ni kulia ugaregare.

Halafu unaamka unajikung'uta vumbi unapenda tena.

Unaumizwa Tena ila fresh tu. Unapambana kiume.

Backup ni umama na uoga wa maisha. Lol
[emoji16][emoji16] Huku ukiita Hamidaaa.,
 
Ukitaka kuinjoi maisha na usiyumbishwe na mahusiano, hakikisha at any time t una wanawake angalau watatu ambao unajitafunia taratibu. Na kati ya hao usiwekeze zaidi ya asilimia 30 ya moyo wako kwa hata mmoja.
Hahaah mabaharia siku hizi wapo nchi kavu
 
Watoto wa kike hawaelewi ndio maana kwao ni rahisi kusema β€œsijiskii”,β€œnimechoka” au tutafanya kesho!
Yani hii kauli ya tutafanya kesho huwa inanifanya nipate homa kabisa nakuwa mgonjwa yani hadi anauliza kwani baba leo unaumwa, mbona ipo hivyo.
Ila ni ile kauli yake ya tutafanya kesho baba angu mimi nipo tu usjari..
 
Hzo za kubaka kuku sio hisia tena bali ni uwendawazimu
 
Hili ndo linaloniandama mpaka sasa hadi kichwa kinauma uongo mbaya
 
Hili ndo linaloniandama mpaka sasa hadi kichwa kinauma uongo mbaya
Kipi sasa kutemwa wakati hauna kitu?

Cha kwanza kubali hauna kitu. Then kubali kuachika. Then tumia hasira ya kuachwa kisa hauna kitu ikupe nguvu ya kupambana upate kitu.

Ila katika kusaka mapenzi ya kweli, kama yatatagemea wewe kuwa na kitu basi na hapo umefeli. Hakunaga mapenzi ya hivyo. Ya kutegemea solely hicho kitu anachosema Muuza simu used
 
Sio kwamba sina kitu la hasha ila kuna kipindi nilipuuzia michepuko ikafika mahali tukatengana na mwenzangu sikuwa na mbadala kwa hiyo hadi leo miezi mitano niko peke nikijaribu kuaproach nakpuuzia hata sijui kwa nini inakuwa hivi
 
Sio kwamba sina kitu la hasha ila kuna kipindi nilipuuzia michepuko ikafika mahali tukatengana na mwenzangu sikuwa na mbadala kwa hiyo hadi leo miezi mitano niko peke nikijaribu kuaproach nakpuuzia hata sijui kwa nini inakuwa hivi
Sisi wanawake ni wa ajabu sana.

Ukitufata kinyonge hutupati ng'o.

Unaweza kuwa huna mia mfukoni ila approach yako tukakuelewa ki hivyo tu yaani.

Acha unyonge wewe. It seems bado unaishi kwenye mahusiano yaliyopita. Angalia mbele changamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…