Ukiachwa halafu hauna mahusiano mengine

Daaah mkuu genye zetu wanaume huwa ni hatari sana.
Na bahati mbaya zaidi zinakua mara nyingi na mda huo kupata mbususu ya chap ni kipengele. Mwishoe unajichukulia sheria mkononi
 
Daaah mkuu genye zetu wanaume huwa ni hatari sana.
Na bahati mbaya zaidi zinakua mara nyingi na mda huo kupata mbususu ya chap ni kipengele. Mwishoe unajichukulia sheria mkononi
Eeh sometime inakubidi unyonge mtambo tu maana hamna namna!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sisi wanawake ni wa ajabu sana.

Ukitufata kinyonge hutupati ng'o.

Unaweza kuwa huna mia mfukoni ila approach yako tukakuelewa ki hivyo tu yaani.

Acha unyonge wewe. It seems bado unaishi kwenye mahusiano yaliyopita. Angalia mbele changamka.
Acha nipambane kwa upya
 

Backup zina ungese kwanza kabisa zina kula pesa kama mchwa napamabana na niliye naye yakiharibika huku naenda kwa pusha nanyonga misumari yangu ya kutosha nikimaliza nakaaa chini nalia hadi stimu za mjani zikate na yote nakuwa nimeyasahu kisha naendelea na safari
 
Raha ya kuachwa ni kulia ugaregare.

Halafu unaamka unajikung'uta vumbi unapenda tena.

Unaumizwa Tena ila fresh tu. Unapambana kiume.

Backup ni umama na uoga wa maisha. Lol
Hii haiwezi ku applay kwa sisi wanaume

Raha ya kuwa koo lazima uwe na mitetea kama yote

Huyu akiwa anataga.
Huyu akiwa anaringa
Huyu akiwa ana vifaranga

Tayari hukosi back up ya mitetea mingine
 
Hii haiwezi ku applay kwa sisi wanaume

Raha ya kuwa koo lazima uwe na mitetea kama yote

Huyu akiwa anataga.
Huyu akiwa anaringa
Huyu akiwa ana vifaranga

Tayari hukosi back up ya mitetea mingine
Kunguru asili yao uoga. Hawajui washike lipi.
 
Payback ya kupenda bila side chick ni kubwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…