Ukiachwa halafu hauna mahusiano mengine

Ukiachwa halafu hauna mahusiano mengine

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu! Hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea.

Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha yakikufika unamtoa kutoka kwenye friend zone hadi bad zone.

Usije ukasema hukuambiwa.
 
Raha ya kuachwa ni kulia ugaregare.

Halafu unaamka unajikung'uta vumbi unapenda tena.

Unaumizwa Tena ila fresh tu. Unapambana kiume.

Backup ni umama na uoga wa maisha. Lol
 
Kuachwa ni kuachwa tu hata upate mwingine ila kama uliwekeza moyo kwa aliyekuacha scale ya maumivu inakua juu tu

Halafu kumbe kuachwa ni aibu? Inategemea bn mmeachana kwasababu gani
 
Raha ya kuachwa ni kulia ugaregare.

Halafu unaamka unajikung'uta vumbi unapenda tena.

Unaumizwa Tena ila fresh tu. Unapambana kiume.

Backup ni umama na uoga wa maisha. Lol
Hahahahah laiti ungejua ugumu wa kupambana na genye ukiwa kama dume ndio ungeelewa!

Kwenu nyie si mnakaaga hata miaka mitano kama hujapata mtu wa kukutekenya mbavuni na kutomasa chuchu unadunda tu! Ashki zenu nyie ni mpaka ushikwe shikwe ila kwa sie madume macho tu yanaweza kukuponza 😂😂😂! Sometime unaamka tu na kiraruraru mashine haitaki kushuka inataka haki yake sasa kama huna namna ndio utaskia jamaa kabaka kuku, mara mbuzi au kamdandia chizi!
 
😂 midadi yetu unaweza kufa huku umekakamaa kisa minyang'ula
 
Kuachwa ni kuachwa tu hata upate mwingine ila kama uliwekeza moyo kwa aliyekuacha scale ya maumivu inakua juu tu

Halafu kumbe kuachwa ni aibu???? Inategemea bn mmeachana kwasababu gani

Sababu sio issue maana unaweza hata kuachwa kwasababu yanga kakimbia uwanjani
 
Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu!hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea!
Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha yakikufika unamtoa kutoka kwenye friend zone hadi bad zone!
Usije ukasema hukuambiwa

Ukitaka kuinjoi maisha na usiyumbishwe na mahusiano, hakikisha at any time t una wanawake angalau watatu ambao unajitafunia taratibu. Na kati ya hao usiwekeze zaidi ya asilimia 30 ya moyo wako kwa hata mmoja.
 
Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu!hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea!
Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha yakikufika unamtoa kutoka kwenye friend zone hadi bad zone!
Usije ukasema hukuambiwa
Unachosema ni sahihi kiongozi Mimi mweyewe nina mpenzi wangu kuna wakati nilijiona penzi langu limegemea upande mmoja yaani mimi ndo ninajitoa zaidi ya mwenzangu baada ya kuteseka na Hali hii muda mrefu

Kuna mtoto wa kinyakyusa nilianza kuwekeza upendo wangu kwake taratibu Kama rafiki tuu vitu vidogo vidogo namsaidia taratibu nilianza kujiona najivua gamba toka kwa mtoto wa kisukuma muda mwingi nipo na mtoto wa kinyakyusa banda ya kuanza kukolea kwa mtoto wa kinyakyusa mtoto wa kisukuma alianza kuingiwa na wasiwasi Kama vile penzi letu limeanza kuyumba akaanza kufanya juhudi ya kuliboresha penzi letu
 
Back
Top Bottom