Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....No Free Lunch, in the World !.....[emoji57]Niaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
Jenga nyumba kinondoni ila watoto wanunulie vikindu mpaka wakikua tayari vina thamani.Niaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
Hapana mkuu sina eneo ila nilikuwa nafanya kazi maeneo ya kisemvule kwa hyo naijua vizuri geographia ya huko pametulia sana maana marafiki zangu wengi walikuwa na viwanja maeneo hayo na mpera ni sehemu nzuri huko ndio samata ana eneo kubwa na jingine juzi tu aliamua kujenga msikiti.Kwanini ume point Vikindu mkuu au tayari una eneo kule?
Vikindu, the best place to be...Niaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
Hapa nimekuelewa vema mkuu.Hapana mkuu sina eneo ila nilikuwa nafanya kazi maeneo ya kisemvule kwa hyo naijua vizuri geographia ya huko pametulia sana maana marafiki zangu wengi walikuwa na viwanja maeneo hayo na mpera ni sehemu nzuri huko ndio samata ana eneo kubwa na jingine juzi tu aliamua kujenga msikiti.
Hahaha mkuu soma comment namb 315 na 317. Nina amini utashangazwa na hiki ulichoandika hapa.Twende kibaha Mzee kama tuanapenda privacy na utulivu..Bagamoyo kama tunataka kuwa karibu na upepo wa bahari tofauti na hapo vikindu Haina tofauti na mtwara.