Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

Ni kweli,
Kama ni machaguo mawili na mimi ningechagua kama wewe,
Lakini kama ni Chaguo moja ningechagua Bagamoyo .
Kwa chaguo moja hata na mimi ni Bagamoyo mkuu.
 
....No Free Lunch, in the World !.....[emoji57]
 
Jenga nyumba kinondoni ila watoto wanunulie vikindu mpaka wakikua tayari vina thamani.
 
Bagamoyo. Mostly sababu ni home huko.
Kwahiyo imesema Bagamoyo kwa sababu ni nyumban au umeona tu kunafaa kwa sifa zake? Namaanisha hata kama nyumban ingekuwa sio Bagamoyo bado ungeona kunafaa au ungechagua kwengine?
 
Jenga nyumba kinondoni ila watoto wanunulie vikindu mpaka wakikua tayari vina thamani.
Kwanini ume point Vikindu mkuu au tayari una eneo kule?
 
Kwanini ume point Vikindu mkuu au tayari una eneo kule?
Hapana mkuu sina eneo ila nilikuwa nafanya kazi maeneo ya kisemvule kwa hyo naijua vizuri geographia ya huko pametulia sana maana marafiki zangu wengi walikuwa na viwanja maeneo hayo na mpera ni sehemu nzuri huko ndio samata ana eneo kubwa na jingine juzi tu aliamua kujenga msikiti.
 
Twende kibaha Mzee kama tuanapenda privacy na utulivu..Bagamoyo kama tunataka kuwa karibu na upepo wa bahari tofauti na hapo vikindu Haina tofauti na mtwara.
 
Vikindu, the best place to be...
 
Hapa nimekuelewa vema mkuu.
 
Twende kibaha Mzee kama tuanapenda privacy na utulivu..Bagamoyo kama tunataka kuwa karibu na upepo wa bahari tofauti na hapo vikindu Haina tofauti na mtwara.
Hahaha mkuu soma comment namb 315 na 317. Nina amini utashangazwa na hiki ulichoandika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…