Ibrahimeliza
Member
- Nov 25, 2020
- 37
- 26
Hivi ukiambiwa leo ndosiku yako ya mwisho duniani, utaimaliza vipi? Utaiishi vipi hiyo siku yako? Utafanya nini? Utaacha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaaaaa ni mfano mdgo tu, ila kuna wagonjwa ambao waambiwa miezi tatu TU ndowalio bakiza kama au sanasana wagonjwa wa cancer ila nimesemea kama kujua your most priority.Kwanza atakaekwambia leo ni siku yako ya mwisho atakuwa anatokea sayari ipi
-Wafungwa walioa hukumiwa adhabu ya kifo, hutambua siku yao ya mwisho.Kwanza atakaekwambia leo ni siku yako ya mwisho atakuwa anatokea sayari ipi
Ni huzuniHahahahahaaaaaa ni mfano mdgo tu, ila kuna wagonjwa ambao waambiwa miezi tatu TU ndowalio bakiza kama au sanasana wagonjwa wa cancer ila nimesemea kama kujua your most priority.
Sayari ya nyumaKwanza atakaekwambia leo ni siku yako ya mwisho atakuwa anatokea sayari ipi
Wanawake bhana mmeo sijamuona apoHiyo taarifa natamani nipewe asubuhi maana nyumbani ni mbali.
1. Hata kama sina hela siku hiyo lazima hela ipatikane nipande ndege ndo njia rahisi ya kuwahi kwa mama yangu.
2..mdogo wangu yuko mkoa jirani nitampigia fasta atangulie nyumbani.
3. Ntakuwa nishampigia mama simu na wadogo zangu wa home kuwa nipo nakuja wanisubiri na mama anipikie kuku[emoji1787] mbinguni hakuna hotel.
4: chap nikiwa natoka humu ndani sitobeba mamizigo nitabeba funguo tu ili msiba ukiisha mama aje kuchukua vitu vyangu. So napitia kanisani kusali niongee na Mungu kwa mara ya mwisho.
5. chap airport, nikiwa safarini ndo muda pekee wa kusali hata rozali.
6.lisaa limoja nitakuwa nishashuka ntampigia shem anijie kuokoa muda so muda huo atakuwa hapo.
7. Masaa mawili /matau kutoka mjini hadi kijijini, so kama saa 7mchana lazima niwe home.
8. Familiya tutakuwa tumekamilika tutapiga msosi ndo nawaambia. Kuwa leo ndo mwisho.
Basi nitawaomba tusali kwa pamoja humo ndani na stori kibao kama kuna mtu anaetaka kumtumia salama marehemu waliotangulia ndo muda huo sasa.
Basii nitamsubiri Israel mtoa roho.nikiwa na familiya yangu mpaka hapo atakapokuja.
N.b. in reality Kifo ni fumbo Mungu hakutaka haya maandalizi yote. Kifo kinauma. Mungu nakuomba mwisho mwema.
Huu uzi dah.
Future impossible tenseHivi ukiambiwa leo ndosiku yako ya mwisho duniani, utaimaliza vipi? Utaiishi vipi hiyo siku yako? Utafanya nini? Utaacha nini?
Fumbo sanaaaaa, huzuniHiyo taarifa natamani nipewe asubuhi maana nyumbani ni mbali.
1. Hata kama sina hela siku hiyo lazima hela ipatikane nipande ndege ndo njia rahisi ya kuwahi kwa mama yangu.
2..mdogo wangu yuko mkoa jirani nitampigia fasta atangulie nyumbani.
3. Ntakuwa nishampigia mama simu na wadogo zangu wa home kuwa nipo nakuja wanisubiri na mama anipikie kuku🤣 mbinguni hakuna hotel.