Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
hivi ulimalizia huu uzi unifanyie summary kidogo?Shingo za kuku na mikia ya samaki ndio zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ulimalizia huu uzi unifanyie summary kidogo?Shingo za kuku na mikia ya samaki ndio zetu
Wallahi nimesoma Utangulizi kama mistari m3 nikaskroo mpaka kukomenti. Ndeeefuuuuuhivi ulimalizia huu uzi unifanyie summary kidogo?
hahaha yanini kuchoshana banaNdefu balaaa mm hata sijaisoma.
we sio mtaka cha uvunguni kwa style hiyoLakini sina hela ninazo pesa madafu tu.
duuuh kumbe hata mimi nimekupitaWallahi nimesoma Utangulizi kama mistari m3 nikaskroo mpaka kukomenti. Ndeeefuuuuu
Kwa kweli hata mm sikuumaliza kuusoma wotehivi ulimalizia huu uzi unifanyie summary kidogo?
Mimi nimeusoma hadi nukta ya mwisho, hahahahaahhahahahaHahahaaha
Ila nimeishia katikati
aisee kama nakuona ulibaki na skeletonYaani nimecheka hadi mwili mzima umepwaya!!! hahahahahaha
Kila niki scroll naona maandishi nikaudump. Ukiumaliza labda yalishawi kukukuta au yanakukukuta.Mimi nimeusoma hadi nukta ya mwisho, hahahahaahhahahaha
Hahaha chikira nipe muendelezo wake huko mwisho uliishajeMimi nimeusoma hadi nukta ya mwisho, hahahahaahhahahaha
Nimejikuta nina cheka kila sentensi ninayosoma, nikanogewa nikausoma hadi mwisho!!!Kila niki scroll naona maandishi nikaudump. Ukiumaliza labda yalishawi kukukuta au yanakukukuta.
Nimejitetea mapema mkuu maana huyoowe sio mtaka cha uvunguni kwa style hiyo
Ndiyo uache kuvaa wax sasa na zile kanga za hakuna matata.Nimejikuta nina cheka kila sentensi ninayosoma, nikanogewa nikausoma hadi mwisho!!!
Mwisho wake ni huo huo wa vitenge vyenye stifu hahahahahah maneno yalikuwa yanajirudia rudia tu kama ulivyoona kwenye para ya mwanzo😀😀Hahaha chikira nipe muendelezo wake huko mwisho uliishaje
nikajua umemaliza ulivyosema umecheka mpk watu wamekushangaaKwa kweli hata mm sikuumaliza kuusoma wote