Ukiambiwa twende dinner maana yake utoke sexy

Ukiambiwa twende dinner maana yake utoke sexy

Aiseee hilo GERE nimecheka mpka watu wananishangaa
 
Nimecheka sana leo dah @ambielekiviele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui uzi huu umeishaje....maana nahisi ni kama kitchen party fulani....ni bora mleta uzi angesema kabisa kuwa inawahusu wadada/wamama....

Sikuambulia kitu maana nimeishia nadhani ni robo ya mistari.......

Nadhani muhusika kukaribishwa dinner akaja na.Matenge yake si kosa....anaonesha nidhamu zaidi...pengine ni chaguo zuri kwa mke anaefaa....

Ama dinner maana yake uje na night dress....!!

Kwangu nikikwambia dinner ukaja umenivalia Tishert na jinsi....nitakuondoa tulipo na kukupeleka ama baa na badae mziki...
 
Ni ndefuuu.ila jimejitahidi kwa kiasi.

Wakati anavaa haya malemba Kama mnaijeria anaenda kutambulishwa ukweni wewe unakuwa wapi?
Kwa nini usimsahihishe...
Raha ya mume/mpenzi mvae wote na mkosoane "baby hiyo usivae,hujapendeza" vaa hii hny,"yes you looking sex..
Na mtoke kwa pamoja.
Anavaa mitenge unamwangalia tu.
Nyuma ya pazia unalalamika..
Mfundishe kuvaa,si wako huyo???
 
Hahaha chikira nipe muendelezo wake huko mwisho uliishaje
Mwisho wake ni huo huo wa vitenge vyenye stifu hahahahahah maneno yalikuwa yanajirudia rudia tu kama ulivyoona kwenye para ya mwanzo😀😀
 
Kwa kweli hata mm sikuumaliza kuusoma wote
nikajua umemaliza ulivyosema umecheka mpk watu wamekushangaa

ila utakuwa umefika mbali maana mpaka nilipoishia mimi sijapata fursa ya kucheka
 
Back
Top Bottom