Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #21
Ahahha 😂JET 🛩
Ahahha 😂JET 🛩
Jibu la kwanza ndio sahihiEmb ngoja
Bado 🤔
Ya watu 2😎Ahahha 😂
PikipikiUkiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri
Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
""Wewe ulikuwepo""😂😂😂😂Umetupiga
Sex body yenye body count ya kutosha
Be free mzeeYa watu 2😎
Duh watu mna minyororo 😂😂 kama watoto ungekuwa nao wangapiMimi kama Mlamba Mawingu hizi Shabiby semi Luxury za kubeba abiria 53 zitakua mbili tuu ila hii ya pili itabaki na siti chache maana huwa nawaweka katika kumbukumbu.
😂😂 au sioSISI bikira wa kiume tusiowahi lomba tutatumia viatu vya matairi
Kwanza wanapanda usafiri wakienda wapi acha wapige mguuKwanini niwapandishe usafiri watatembea kwa miguu yao mpaka tufike tuendako
Hii kali kupita maelezo 😂Labda rori tatu za mchanga.
Ngapi moja tu ina tosha