Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Mm bado namsubiri mwanamke atakayejitolea kuja kuniharibia uvulana wangu 😎
 
Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe πŸ˜‚
kwa level seat mi naweza jaza basi moja kubwa na coaster...ujana mbaya sana πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…