raiswenu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2018
- 1,027
- 1,786
Hiyo level sijafikia, na sitafikiaHauchukui daldala za mbagala
Hiyo level sijafikia, na sitafikiaHauchukui daldala za mbagala
Swma kwenye bajaji hapo umetuchanganya mkuu, Hivi umemaanisha Level seat au mpaka mbele kwa dereva?
Kwanini bossHiyo level sijafikia, na sitafikia
Haina noma mtoto wa Askofu.Hapana ni kule nyuma tu
Kabisaa ulokole mwingiHaina noma mtoto wa Askofu.
Kazana sana kusoma neno.
Siyo sifa nzuri boss wangu, mmoja au wawili wanatosha kabisaKwanini boss
Pamoja mkuu 😂😂Kabisaa ulokole mwingi
Nafikiri wewe utakuwa na Low sex drives mkuu au Unalack sexual motivation.Siyo sifa nzuri boss wangu, mmoja au wawili wanatosha kabisa
Sawa so toka ubarehe ume fanya na wawili tuSiyo sifa nzuri boss wangu, mmoja au wawili wanatosha kabisa
Tupo pamoja daaah na bado naendeleaKitu Cha ORE TRAIN👇😁
Mpaka ujaze melii ya mizigo 😂Tupo pamoja daaah na bado naendelea
Kwanini hamuamini ?Urongoooooo
Nipo natafuta kausha damu yenye kaunafuu maana hata salary advance nishamaliza🤣Kwasababu gani? Upo wapi kwanza hizi tarehe unaweza nipunguzia dipresheni kidogo hata kwa kapepsi kabaridi
Toyota Coaster mbiliUkiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri
Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
Wewe umesema ukweli kabisa mkuu🤣😂🤣😂Kitu Cha ORE TRAIN👇😁
Una tupiga za uso
Hakika fireToyota Coaster mbili
Wakina mama jay wapo wengiWewe umesema ukweli kabisa mkuu🤣😂🤣😂
😂😂😂 mbaya hiiDaaaah hapa nadhani basi kati ya 7 hadi kumi zile za viti 65