Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #321
Hii kweli 😂Baiskeli
Hii kweli 😂Baiskeli
Kabisa mkuu aminiHii kweli 😂
hii Baiskeli ya saa100 inanitoshaUkiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri
Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
Hatosheii bhnaKabisa mkuu amini
Why saa100hii Baiskeli ya saa100 inanitosha
Ongeza speed upo slow sana 😂IST na bodaboda 3
Hamna tuzo kwenye zinaa badilisha mtizamo.Ongeza speed upo slow sana 😂
🙌🙌🙌 umetishaZan fast ferries itatosha 😏
Dipresheni kwahiyo wewe sio mpare?Dipreshen usimuamini huyo mpishi anapenda kuongeza chumvi
Hapana kwakweli.Hadi wewe huniamini?
Kwasababu gani? Upo wapi kwanza hizi tarehe unaweza nipunguzia dipresheni kidogo hata kwa kapepsi kabaridiHapana kwakweli.
Makande kabisa wwMm pia simjui
Unapenda kuongeza chumviLeo sijaongeza chumvi et 😂
Acha basiMakande kabisa ww
Kwani imezidi au?Unapenda kuongeza chumvi
SanaKwani imezidi au?
UmetupigaBaiskeli mkuu.