Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Kuna siku nikiwa Mwanza kikazi nikaenda baa moja nikakuta "vijana wa hovyo" wanajadili hili swala nikawapuuzia nikaendelea na kinywaji changu

Lakini nilipo rudi room kwangu kulala kawazo kakaja kwamba sio vibaya ukijitadhmini idadi ya uliopita nao toka ujanani hadi sasa ni Muhenga........ Aiseeee itoshe tu kusema niliogopa japo siku wakumbuka wate 😓

Hakuna gari moja linaweza kuwabeba at least hao nilio wakumbuka
Labda mabehewa kadhaa ya SGR
hahah ujana wako ulikuwa wa ovyooo
 
Isuzu cvr hao ni wale watakaojaa humo niwale ambao ninawakumbuka kwa majina yao na sehemu tuliyokutana ila, wapo ambao siwakumbuki majina yao wao hawamo kwenye hiyo isuzu cvr.
 
Back
Top Bottom