Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Bajaji tuu inatosha na wanakaa kwa nafasi bila kubanana. Kuna mshikaji wangu huwa ananiambia wanawake aliopita nao anaweza kujaza hata Yutong 6 😄😄😄
 
Bajaji tuu inatosha na wanakaa kwa nafasi bila kubanana. Kuna mshikaji wangu huwa ananiambia wanawake aliopita nao anaweza kujaza haya Yutong 6 😄😄😄
Ahaha we uja changamka bado
 
Eicher moja linatosha.
Sema mtashangaa hili basi la vimbaumbau linaenda wapi? 😄
 
Kuna series moja ya kikorea inaitwa S -line ni mpya basi story yake inahusu swali kama lako. Iangalie humo kuna dada nahisi alipita na wanaume wote wa Korea na nchi jirani🤣🤣🤣
Ahahah nitaitafuta hii
 
Back
Top Bottom