Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Mimi kama Mlamba Mawingu hizi Shabiby semi Luxury za kubeba abiria 53 zitakua mbili tuu ila hii ya pili itabaki na siti chache maana huwa nawaweka katika kumbukumbu.
Duh watu mna minyororo πŸ˜‚πŸ˜‚ kama watoto ungekuwa nao wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…