Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Watu wa Mbweni mna raha sana 🤣🤣Jumapili aisee sijui kwa nn linakua poa sana tofauti na siku zingine
Sisi huku tunakula miguu ya kuku na chachandu la ugwadu limechachuka afu pilipili kali, tunapiga miluzi 🤣🤣