Ukiambiwa utoke na nani humu utatoka naye?

Watajaa pm subiri wanakuja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanaotaka kutoka na mimi waje goms ulongoni niwapeleke kumalija tukale gambe
Wakifika banana wanishtue, nitoke na boda mdogo mdogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pm hata sina habari nayo niliiweka lock, ni mtu mmoja tu ndio ana-access, na yeye hivyo hivyo mm tu ndio na-access[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ulongoni itakoma. Bonyokwa imepumzishwa[emoji23]
 
Watu wa Mbweni mna raha sana [emoji1787][emoji1787]
Sisi huku tunakula miguu ya kuku na chachandu la ugwadu limechachuka afu pilipili kali, tunapiga miluzi [emoji1787][emoji1787]
Wewe unavyopenda pilau, sema unalijulia sana. Pembeni na autumn yako[emoji23][emoji23]
 
kutaja dem jina nikuonesha ubaguzi mi mademu wote humu wenye k mnato natoka nao maana mi ni muumini wa utamu kunoga.kwahiyo mademu wote humu naomba mtoke namimi mnipe utamu kunoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…