stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Labda cocochanel ingawa Sina uhakikaWakuu ukiambiwa utoke na nani jf utatoka naye mie sina akilini bado kwa maana kila mtu humu anawake nisije logwa nikasumbuka kutafuta k yangu iko wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda cocochanel ingawa Sina uhakikaWakuu ukiambiwa utoke na nani jf utatoka naye mie sina akilini bado kwa maana kila mtu humu anawake nisije logwa nikasumbuka kutafuta k yangu iko wapi??
🤣🤣🤣🤣Naachaje kuisubiri komenti yako jirani? 😂
Si unaelewa kwako sihemi, sili wala siny***🤣🤣
Pole binadamu wanaringa sana🚮🌚ningemtaja sema anaringa huyo😅
tunajuana mbona 😂🤣🤣🤣🤣
Wewe usizunguke sana hapa!! Jibu swali la maua. Unatoka na nani jf??
Pole sana kamanda 😂ningemtaja sema anaringa huyo😅
Unaogopa kugonganisha magari 🤣🤣🤣tunajuana mbona 😂
we endelea kunichora tu hapa😂Pole binadamu wanaringa sana🚮🌚
😂😂 nisijevunja mioyo ya watu bure, mioyo 😂😂😂Unaogopa kugonganisha magari 🤣🤣🤣
kama wewe tu mwanangu unavofungiwa pm🤣Pole sana kamanda 😂
Hapana, sikuchori jamani. Ila kwanini useme anaringa wakati binadamu wote wanaringa?we endelea kunichora tu hapa😂
Pm haijafungwa kwa ajili yangu, ni kwa ajili ya privacy 😂kama wewe tu mwanangu unavofungiwa pm🤣
We ringa tu 😎Hapana, sikuchori jamani. Ila kwanini useme anaringa wakati binadamu wote wanaringa?
ananiambia eti mimi ni mtoto😥Hapana, sikuchori jamani. Ila kwanini useme anaringa wakati binadamu wote wanaringa?
😂😂😂. Nimecheka halafu leo nina stress vibaya mnoananiambia eti mimi ni mtoto😥
kua serious tuone🤣Pm haijafungwa kwa ajili yangu, ni kwa ajili ya privacy 😂
Mimi ni vile sipogo siriazi
Kunywa maji mengi 🤣🤣🤣😂😂 nisijevunja mioyo ya watu bure, mioyo 😂😂😂
kwenda huko😂😂😂. Nimecheka halafu leo nina stress vibaya mno
Wakuu ukiambiwa utoke na nani jf utatoka naye mie sina akilini bado kwa maana kila mtu humu anawake nisije logwa nikasumbuka kutafuta k yangu iko wapi??