Ukiambiwa utoke na nani humu utatoka naye?

Ukiambiwa utoke na nani humu utatoka naye?

Sitoki na mtu humu. Wana chuchu fake ni za kununua, hips za kuvaa , nywele wamenunua si na K zitakuwa fake? Labda yupo mmoja naohopa kuleta taharuki
 
Kwanza nilianza kuipenda picha yake ya id.....kuna siku aliwahi kuandika thread hiyo ndo ilinimaliza kabisa...(j)

hata nikifuatiliaga comment zake...(o) huwa zinaonesha ni strong women sana...hana makuu na asiyejikweza(a) kwa mtu yeyotekiufupi ni full package.

anaitwa...(nah) take those letters from the bracket to get her full name....

i swear she was sent by papa god, her beauty was made from the moonlight.
 
Back
Top Bottom