Yaani imegoma kabisa.
Acha tuu.. hapa penyewe kila leo Vikwazo...Sasa we na SHIMBA YA BUYENZE lazima mtakuwa mmefuatana, full kukwaruzana.
Kaka yako pampula umemuona lakini? Una mawifi kijiji kizima na nguvu hata hana[emoji134][emoji134][emoji134]
Kaka yako pampula umemuona lakini? Una mawifi kijiji kizima na nguvu hata hana[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwamba Khantwe mama yangu[emoji15][emoji15][emoji15]
Au bibi yako kwa baba yako?
Ila huko nae atakuwa mama mkwe[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hapana hebu fikiria tena.
Ngoja nifikirie kwanza, ila kwenye kaka nitoe kwanza kwenye kipindi ambacho niko nafikiria.
Aisee familia ya kibabe kabisa
Unawashwa? Au sio?Anae kulala Yani sio
Ndio mkae kikao mpatane[emoji1787][emoji1787]Acha tuu.. hapa penyewe kila leo Vikwazo...
Kwani lini uliwahi kuleta?Afu sijaleta vitenge kitambo...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha mbona pampula
Hahahaha, aseeUnawashwa? Au sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mkae kikao mpatane[emoji1787][emoji1787]
Atakuwa anajipikilisha matunda yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SHIMBA YA BUYENZE nakuomba hapa Brother.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa anajipikilisha matunda yake.