Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Kaka yako pampula umemuona lakini? Una mawifi kijiji kizima na nguvu hata hana[emoji134][emoji134][emoji134]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana kweli ulibadilishiwa hospitali
Nguvu anatoa wapi na zote zinaishia kwenye ulabu
 
Kwamba Khantwe mama yangu[emoji15][emoji15][emoji15]
Au bibi yako kwa baba yako?
Ila huko nae atakuwa mama mkwe[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hapana hebu fikiria tena.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba Khantwe ni shindikana kiasi hiko
Kweli umemchoka mwenzio aisee
 
Back
Top Bottom