Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Mwambie aende akale huo ukoko wa wali sehemu alipopeleka hasira zake😅😅
 
Kama ni huyo atapika basi msiniwekee ukoko kuleni tu..😅

Ukifika wakati mtaelewa kikao kinahusu nini.. Vinci hongo ya soda tu itamtosha kumtuliza..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
mabinti zangu nimewalea kwa gharama kubwa sana hivo anaewataka lazima akubali kugharamika, mimi mama yenu nilitoa mahari ya mill 7 na ndoa juu.
Kumbeee..nilikuwa sijui baba..loh!!

nipangie mahari baba angu
 
Kumbeee..nilikuwa sijui baba..loh!!

nipangie mahari baba angu
tayari, kila kitu kinaenda sawa nachoomba kwa sasa utulizane vile vijamaa vinavyokupigia sim viweke wazi unaolewa au ubadili line kabisa.
 
tayari, kila kitu kinaenda sawa nachoomba kwa sasa utulizane vile vijamaa vinavyokupigia sim viweke wazi unaolewa au ubadili line kabisa.
Hakuna vijamaa baba..mwanao mimi sinahayo mambo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…