Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Aaah brazaaa...ukoko tena..!! Ukoko anaupendaga joanah na leo nikipika wali namuwekea laini laini asipate shida wakati wa kuula...wewe subiri ukoko wa wali wa chakorii kwakweli

Kikao kinahusu Nini?..na isiwe muda wa vinc wa kuangalia movie si unajua anavyopenda kulalamika akiharubiwa ratiba zake eeh!!
Mwambie aende akale huo ukoko wa wali sehemu alipopeleka hasira zake😅😅
 
Kama ni huyo atapika basi msiniwekee ukoko kuleni tu..😅

Ukifika wakati mtaelewa kikao kinahusu nini.. Vinci hongo ya soda tu itamtosha kumtuliza..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
mabinti zangu nimewalea kwa gharama kubwa sana hivo anaewataka lazima akubali kugharamika, mimi mama yenu nilitoa mahari ya mill 7 na ndoa juu.
Kumbeee..nilikuwa sijui baba..loh!!

nipangie mahari baba angu
 
Kumbeee..nilikuwa sijui baba..loh!!

nipangie mahari baba angu
tayari, kila kitu kinaenda sawa nachoomba kwa sasa utulizane vile vijamaa vinavyokupigia sim viweke wazi unaolewa au ubadili line kabisa.
 
tayari, kila kitu kinaenda sawa nachoomba kwa sasa utulizane vile vijamaa vinavyokupigia sim viweke wazi unaolewa au ubadili line kabisa.
Hakuna vijamaa baba..mwanao mimi sinahayo mambo kabisa
 
Back
Top Bottom