KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ntapunguza..Kama umekubali democrasia braza hakuna shida..ila upunguze maneno sasa😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntapunguza..Kama umekubali democrasia braza hakuna shida..ila upunguze maneno sasa😢
Sisi hatuna kazi mumeo sasa..😅😅😅😅familia ikikujua huwezi pata tabu.nashukuru ndugu zangu kwa kunichukulia😅😅😅
Umeadimika sana we cheupeeeHahahah nacheka tu mimi
Akishapatikana tutajuana mbele kwa mbele bro..Sisi hatuna kazi mumeo sasa..
Bwana na atende muujiza..
Safi kabisa brotherBaba muache dada yangu achague amtakae mahali si issue Sana ni Mambo ya kuzungumza tu kikubwa upendo.
Naendelea mzoom kwa kina we mwache tu😅😅Unamtafuta chakorii wewe..siingilii ugomvi wenu...Ngoja nikapike
Mwambie aende akale huo ukoko wa wali sehemu alipopeleka hasira zake😅😅Aaah brazaaa...ukoko tena..!! Ukoko anaupendaga joanah na leo nikipika wali namuwekea laini laini asipate shida wakati wa kuula...wewe subiri ukoko wa wali wa chakorii kwakweli
Kikao kinahusu Nini?..na isiwe muda wa vinc wa kuangalia movie si unajua anavyopenda kulalamika akiharubiwa ratiba zake eeh!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama ni huyo atapika basi msiniwekee ukoko kuleni tu..😅
Ukifika wakati mtaelewa kikao kinahusu nini.. Vinci hongo ya soda tu itamtosha kumtuliza..
Kumbeee..nilikuwa sijui baba..loh!!mabinti zangu nimewalea kwa gharama kubwa sana hivo anaewataka lazima akubali kugharamika, mimi mama yenu nilitoa mahari ya mill 7 na ndoa juu.
Elfu 15Kumbeee..nilikuwa sijui baba..loh!!
nipangie mahari baba angu
Kwani wewe ndie babanguElfu 15
Baba wa hiari..!Kwani wewe ndie babangu
tayari, kila kitu kinaenda sawa nachoomba kwa sasa utulizane vile vijamaa vinavyokupigia sim viweke wazi unaolewa au ubadili line kabisa.Kumbeee..nilikuwa sijui baba..loh!!
nipangie mahari baba angu
Huwezi kuwa babangu wa hiari aise..tafuta familia nyingine huwezi nishusha kiwango namna hii🤪🤪Baba wa hiari..!
Hakuna vijamaa baba..mwanao mimi sinahayo mambo kabisatayari, kila kitu kinaenda sawa nachoomba kwa sasa utulizane vile vijamaa vinavyokupigia sim viweke wazi unaolewa au ubadili line kabisa.
Huwezi kuwa babangu wa hiari aise..tafuta familia nyingine huwezi nishusha kiwango namna hii[emoji2957][emoji2957]
Mama faiza.Hongera kwa family boraaah,
mlinzi alikua akinipa habari zenu sema nilikua nawaonea aibu kuwaambia bt kwa kua unaolewa nimeona nikupe angalizo.Hakuna vijamaa baba..mwanao mimi sinahayo mambo kabisa
😙Mama Jael
Mke Mzigua90
Mke mwingine Shunie
Mke mwingine Hornet
Family friends ambao mda wowote wanaweza kua converted kua wake[emoji16][emoji16] Joanah financial services Depal Saint Anne
Mama mdogo Zoë
Rafiki wa baba yna2
Mcheps
1.
2.
3.
Naomba kuwakilisha
Hatareeeeh sanaahMama faiza.
Dada hannah [emoji1787]