Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

amu mi mkorofi?
sikupikii tena biriani
 
Kaka 1. Zito junior
Kaka 2. Da Vinci
Kaka 3. Habibu B. Anga
Kaka 4. Life coded.
 
Reactions: amu
Baba Mkwe Kiranga na
Baba Mkwe Wadogo Nyani Ngabu na The Boss

Mama Mkwe mwenye roho ya dhahabu Sky Eclat
Mdogo wake Ma Mkwe @Kassie Matata kupunguza makali ya ukweni lol

Wifi FaizaFoxy hehe lol sema atakua anachamba huyuuu bora wifi mpole kama Heaven Sent

Mume Mtu Mzima mwenzangu RRONDO (ss sijui km una mkeo humu tiyari ohoo 😅😅 whatevaa ntamtoa njeee)

watoto wetuu sss hii Baba watoto atawachagua...

shem wangu wa nguvu kaka ake RRONDO angekua Eli79 ...au mna familia yenu tiyari?.(japo tuwe ht family friends na sie hehe)

kaka yangu angekuwa Pascal Mayalla
Na Dada yangu miss chagga
Mdogo wangu mzurii angekuaa Paula Paul


mama yangu na Baba yangu ndo sijui kwa kweli
Basi Baba angekua The Boss na My Mummyy mhhh mbona mtihani....Baba The Boss mkeo nani?.

mamdogo mdogo wake Mama angekua lara 1 huyu KLM ana akili sio za nchi hii

vigezo;
I like smart and calm people like me☺☺
karibuni kwenye familia yetu hehe☺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…