- Thread starter
- #401
michepuko hua ni siri mkuu.Mimi ni muislamu naoa wake wa nne. Alafu mbona kipengele cha michepuko na idadi yake sijakiona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
michepuko hua ni siri mkuu.Mimi ni muislamu naoa wake wa nne. Alafu mbona kipengele cha michepuko na idadi yake sijakiona?
basi nasubiri ugeni wako ili tukamilishe taratibu.Kwa hili sitokuangusha baba mkwe
amu mi mkorofi?Dada Hannah.
Dada Hornet
Napenda wadada wakorofi wanitetee mdogo wao.
Lakini nina mdogo mmoja masikivu na mpole mno Saint Anne.
Makiseo awe wifi yangu kwa kaka yangu SHIMBA YA BUYENZE.
Sijabahatika kuzaa na sijaolewa lakini mchepuko wangu ni yule yule wa siku zote dada zangu wanamjua.
Mama yetu ni FaizaFoxy baba yetu ni malcolm Lumumba
(malcolm Lumumba sijui kwa nini haiji anyway popote ulipo mzee wewe maandishi yako huwa yananifundisha na kunielimisha)
Kwa hili sipingi maana mahari huwa haimalizikinikikupigia gharama za malezi hutoweza kunipa hizo pesa hivo mi nataka mill 3.5 kama shukrani ya malezi ili ujitwalie mke.
Sawa bababasi nasubiri ugeni wako ili tukamilishe taratibu.
Nakuhitaji baba kashakubaliWe jirani yake na shadeeya ..unasemajeí ½í¸í ½í¸
[emoji23][emoji23][emoji23] Huo ubavu huna wa kukataa kunipikia.amu mi mkorofi?
sikupikii tena biriani
nipe ratiba ya ujio wako ili nifanye maandalizi.Sawa baba
Ratiba atakupa mwanao babanipe ratiba ya ujio wako ili nifanye maandalizi.
sawa, karibu sana nyumbani.Ratiba atakupa mwanao baba
Nipange family friend, nipange!My dia family friend weekend I nakaribia sasa inakuwaje?
Family friend.Nipange family friend, nipange!
kesho tukapige vyombo basi...[emoji23][emoji23][emoji23] Huo ubavu huna wa kukataa kunipikia.
unialikr plzFamily friend.
Naomba twende Beach tukapunge upepo.
Hii familia inafurahishaBaba Mkwe Kiranga na
Baba Mkwe Wadogo Nyani Ngabu na The Boss
Mama Mkwe Sky Eclat
Wifi FaizaFoxy hehe lol sema atakua anachamba huyuuu bora wifi mpole kama Heaven Sent
Mume RRONDO (ss sijui km una mkeo humu tiyari ohoo 😅😅 whatevaa ntamtoa njeee)
watoto wetuu sss hii Baba watoto atawachagua...