Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Dada Hannah.
Dada Hornet



Napenda wadada wakorofi wanitetee mdogo wao.

Lakini nina mdogo mmoja masikivu na mpole mno Saint Anne.

Makiseo awe wifi yangu kwa kaka yangu SHIMBA YA BUYENZE.

Sijabahatika kuzaa na sijaolewa lakini mchepuko wangu ni yule yule wa siku zote dada zangu wanamjua.

Mama yetu ni FaizaFoxy baba yetu ni malcolm Lumumba
(malcolm Lumumba sijui kwa nini haiji anyway popote ulipo mzee wewe maandishi yako huwa yananifundisha na kunielimisha)
amu mi mkorofi?
sikupikii tena biriani
 
Kaka 1. Zito junior
Kaka 2. Da Vinci
Kaka 3. Habibu B. Anga
Kaka 4. Life coded.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Baba Mkwe Kiranga na
Baba Mkwe Wadogo Nyani Ngabu na The Boss

Mama Mkwe mwenye roho ya dhahabu Sky Eclat
Mdogo wake Ma Mkwe @Kassie Matata kupunguza makali ya ukweni lol

Wifi FaizaFoxy hehe lol sema atakua anachamba huyuuu bora wifi mpole kama Heaven Sent

Mume Mtu Mzima mwenzangu RRONDO (ss sijui km una mkeo humu tiyari ohoo 😅😅 whatevaa ntamtoa njeee)

watoto wetuu sss hii Baba watoto atawachagua...

shem wangu wa nguvu kaka ake RRONDO angekua Eli79 ...au mna familia yenu tiyari?.(japo tuwe ht family friends na sie hehe)

kaka yangu angekuwa Pascal Mayalla
Na Dada yangu miss chagga
Mdogo wangu mzurii angekuaa Paula Paul


mama yangu na Baba yangu ndo sijui kwa kweli
Basi Baba angekua The Boss na My Mummyy mhhh mbona mtihani....Baba The Boss mkeo nani?.

mamdogo mdogo wake Mama angekua lara 1 huyu KLM ana akili sio za nchi hii

vigezo;
I like smart and calm people like me☺☺
karibuni kwenye familia yetu hehe☺
 
Back
Top Bottom