Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:

BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)

MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)

SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)

MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)

BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)

BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza

MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)

WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)

NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.

Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.
umesahau mtoto mmoja zero iq
 
Sasa waite wenzako waje hapa tugawane majukumu tuliyopewa na dingi..😂
Ila mwambie kabisa yna2 yale masufuria hawezi kuyaepuka atayaosha tu hata kwa mkono wa bwana.. Joanah leo zamu yake kupika mother kasema.. halafu wewe hakikisha uwanja unafagiliwa na kile kihelehele chako cha uziwanda kiishe leo maswala ya kusema kwa dingi ulinikuta na manzi yaishe leo alasivyo kwenzi takatifu hazitakauka kichwani mwako..
Chakorii dawa yake ipo jikoni inatokota..😅

Sasa mtu akaidi maagizo aone..😎
Yani ndiyo nishayaepuka siwezi osha vyombo wakati madogo Joanah na Chakorii wapo...😂😂 Alafu mwambie vinc akafunge bomba kule nje maana namuoana mama sikujua anachota tu alafu pesa halipi...
Nawewe kenzy ukafue nguo za dogo vinc muache Chakorii azururee
 
Awe mi ndo likaka lenu halafu unanituma! Leo utaeleza tu wapi umekosea na hicho kiburi kakuveka nani ila ngoja kwanza nikivue ili umseme vizuri..

Vinci na chakorii leteni bakora shughuli ianze..😅
 
Toka zamani enzi zile tunacheza makopo na ubaba mama wadada niliokua nacheza nao walikua wananifanya kua mtoto kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nitafutie mkee sasa upate wajukuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si unaona sasa una nyota ya kuwa mtoto.
Tulia muda ukifika mke utampata tu na wajukuu zangu kama 8 hivi nawasubiri.
 
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:

BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)

MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)

SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)

MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)

BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)

BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza

MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)

WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)

NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.

Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.
Mtoto wa nje ya ndoa nipo hapa.Mama kaniambia Baba yangu ndio wewe.
Ulimpa mimba akiwa shule ukamkimbia ila baba hukufanya poa.Mimi mwanao ujue..
 
Hivi mbona kama Chakorii ndio aliambiwa apike na kufua zile nguo za mama?

Nakumbuka mie nilimbiwa leo nilale tu niamke muda wa kula 😂
Kwahiyo Joanah ndo umeamua kujisahaulisha majukumu yako huh!!

Si umeambiwa dawa yangu inatokota kwa moto ama😅😅
 
Back
Top Bottom