iboyamwaka2020
JF-Expert Member
- Jan 14, 2020
- 725
- 844
umesahau mtoto mmoja zero iqNatumai hamjambo wanabodi.
Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:
BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)
MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)
SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)
MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)
BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)
BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza
MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)
WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)
NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.
Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.