Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

umesahau mtoto mmoja zero iq
 
Yani ndiyo nishayaepuka siwezi osha vyombo wakati madogo Joanah na Chakorii wapo...πŸ˜‚πŸ˜‚ Alafu mwambie vinc akafunge bomba kule nje maana namuoana mama sikujua anachota tu alafu pesa halipi...
Nawewe kenzy ukafue nguo za dogo vinc muache Chakorii azururee
 
Awe mi ndo likaka lenu halafu unanituma! Leo utaeleza tu wapi umekosea na hicho kiburi kakuveka nani ila ngoja kwanza nikivue ili umseme vizuri..

Vinci na chakorii leteni bakora shughuli ianze..πŸ˜…
 
Toka zamani enzi zile tunacheza makopo na ubaba mama wadada niliokua nacheza nao walikua wananifanya kua mtoto kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nitafutie mkee sasa upate wajukuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si unaona sasa una nyota ya kuwa mtoto.
Tulia muda ukifika mke utampata tu na wajukuu zangu kama 8 hivi nawasubiri.
 
Mtoto wa nje ya ndoa nipo hapa.Mama kaniambia Baba yangu ndio wewe.
Ulimpa mimba akiwa shule ukamkimbia ila baba hukufanya poa.Mimi mwanao ujue..
 
Hivi mbona kama Chakorii ndio aliambiwa apike na kufua zile nguo za mama?

Nakumbuka mie nilimbiwa leo nilale tu niamke muda wa kula πŸ˜‚
Kwahiyo Joanah ndo umeamua kujisahaulisha majukumu yako huh!!

Si umeambiwa dawa yangu inatokota kwa moto amaπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…