Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Mi msinisumbue mtajuana mtafute chakorii na sijui utampatia wapi mi naenda kula misele sasa nije nikute mnacheza dama ndo mtaelewa the ngumi iz the nini..πŸ˜…

Mi ndo Kaka yenu..😜
Unauhakika gani mimi sio dada yenu.πŸ˜…
 
Mtoto wa nje ya ndoa nipo hapa.Mama kaniambia Baba yangu ndio wewe.
Ulimpa mimba akiwa shule ukamkimbia ila baba hukufanya poa.Mimi mwanao ujue..
mimba yako ilikua na utata ndo maana tuligombana na mama ako bt tulivofanana sina neno karibu sana mwanangu, jisikie huru hapa upo nyumbani kwenu.
 
Nilikuwa nimekuchunia ujueπŸ˜…πŸ˜…
 
🀣🀣🀣🀣 Joanah njoo umsikie dadako alichosema huku kunihusu
 
Sasa we jichangany mi mtoto wa ujanani wa baba.
Aisee dingi yuzazifu Kama mi si first born nitoe kwenye familia yako unaona hili dada lililoshindikana linatakanichenjia..πŸ˜‚
Halafu tatizo hajui kupigana ila kuuma Sasa..🀣

We kama unataka Vita ya tatu jitwaze uongozi uone navyokutwanga mingumi kitaeleweka tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…