Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Mi msinisumbue mtajuana mtafute chakorii na sijui utampatia wapi mi naenda kula misele sasa nije nikute mnacheza dama ndo mtaelewa the ngumi iz the nini..๐Ÿ˜…

Mi ndo Kaka yenu..๐Ÿ˜œ
Unauhakika gani mimi sio dada yenu.๐Ÿ˜…
 
Mtoto wa nje ya ndoa nipo hapa.Mama kaniambia Baba yangu ndio wewe.
Ulimpa mimba akiwa shule ukamkimbia ila baba hukufanya poa.Mimi mwanao ujue..
mimba yako ilikua na utata ndo maana tuligombana na mama ako bt tulivofanana sina neno karibu sana mwanangu, jisikie huru hapa upo nyumbani kwenu.
 
Sasa waite wenzako waje hapa tugawane majukumu tuliyopewa na dingi..๐Ÿ˜‚
Ila mwambie kabisa yna2 yale masufuria hawezi kuyaepuka atayaosha tu hata kwa mkono wa bwana.. Joanah leo zamu yake kupika mother kasema.. halafu wewe hakikisha uwanja unafagiliwa na kile kihelehele chako cha uziwanda kiishe leo maswala ya kusema kwa dingi ulinikuta na manzi yaishe leo alasivyo kwenzi takatifu hazitakauka kichwani mwako..
Chakorii dawa yake ipo jikoni inatokota..๐Ÿ˜…

Sasa mtu akaidi maagizo aone..๐Ÿ˜Ž
Nilikuwa nimekuchunia ujue๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Yani ndiyo nishayaepuka siwezi osha vyombo wakati madogo Joanah na Chakorii wapo...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Alafu mwambie vinc akafunge bomba kule nje maana namuoana mama sikujua anachota tu alafu pesa halipi...
Nawewe kenzy ukafue nguo za dogo vinc muache Chakorii azururee
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Joanah njoo umsikie dadako alichosema huku kunihusu
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Joanah njoo umsikie dadako alichosema huku kunihusu
Muulize dadako yna2 alichosema kuhusiana na mimi


Yani ndiyo nishayaepuka siwezi osha vyombo wakati madogo Joanah na Chakorii wapo...
๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚


Sio maneno yangu,ni ya dada etu mkubwa
 
Sasa we jichangany mi mtoto wa ujanani wa baba.
Aisee dingi yuzazifu Kama mi si first born nitoe kwenye familia yako unaona hili dada lililoshindikana linatakanichenjia..๐Ÿ˜‚
Halafu tatizo hajui kupigana ila kuuma Sasa..๐Ÿคฃ

We kama unataka Vita ya tatu jitwaze uongozi uone navyokutwanga mingumi kitaeleweka tu..
 
Back
Top Bottom