Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mwanangu KENZY, wachunge sana madada zako maana mlinzi kashanambia kuna vinjemba vinawaijia tunapokua kazini, kazi hii nilimpa da vinc mdogo wako bt nadhani anawaonea aibu dada zake...
We ushamaliza yawache Mambo yajipange Kuna mi komamanga naona inataka kuzaa mihogo..πŸ˜…
 
Braza unajikuta m'babeeee...hivi unadhani chakorii na vinc watakuunga mkono..??!!!
Wenyewe wamekuchoka na udikteta wako..Sasa Waite tukuchangie
Kwanza we kaa kimya kwani nani hajui kuwa jana ulijikojolea kitandani..!!
Waite waje wathibitishe au nimwambie Vinci akachome kwa dingi..?
We leta kiburi tukiburudishe..πŸ˜‚
 
Kwanza we kaa kimya kwani nani hajui kuwa jana ulijikojolea kitandani..!!
Waite waje wathibitishe au nimwambie Vinci akachome kwa dingi..?
We leta kiburi tukiburudishe..πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 Wacha meneno yako...na ukubwa huu nijikojolee..!!..umeishiwa braza....vinc mwenyewe aliniambia amekufuma jikoni unaonja maziwa ya paka..nimwite aje akuumbueee!!!!...Ila ngoja nikukaushie Kaka mkubwa unatia aibu.
 
Huyo atatulia tu,kwanza hajafanana na mdingi hapo itabidi wakapime DNA.Na itabidi bi mdashi atueleze vizuri hii mbegu kaitoa wapi.Na kwenye ulisi asiji hesabie.
mwanangu MR. IBU ndo kwanza siku 2 umekuja tayari ushaanza malumbano, hebu kaa kwa kutulia na nduguzo hapa ndani....

mwishoni mwa mwezi natarajia nikupeleke kijijini ukawajue bibi yako khantwe na babu yako Daud mchambuzi maana hawakujui, pia na wadogo zako tutaongozana nao.
 
Kwanini hutaki kuamini waakati mtu anaatoka kibaha kuifuata biriani kinondoni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dar kuna ujinga mwingi mnoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama gari limejaa atajibana humo kama mihogo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dingi keshamaliza we mpake mafuta huyo mtu wako kwa mgongo wa chupa..πŸ˜…
Halafu huyo jamaa si ndo yule alieiba viatu vya watu walikuwa wameingia msikitini..πŸ˜‚
Nyie leteni balaa tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli ndugu yangu hunipendi,walini singizia tu.kutokana nimekulia uswahilini vitu kama hivyo kawaida tu.
Ni wivu tu..
 
Ila dingi wanao umewalea kimayai sana sidhani kama watakaa hata wiki huko kijijini.
 
Naona adabu imeshuka hao madogo walishaniambia wamechoka na wamekinai tabia yako ya kujikojolea wamepanga wakuimbie kindumbwendumbwe..πŸ˜‚

Halafu adhabu yako utapika siku 3 mfululizo Sasa ole wako uunguze kama juzi na ile ita yako ukiivisha ati Rudi nyumbani kumenoga kumbe ndo uliunguza vile..🀣

Hebu mwambie Joanah akupe twisheni ya kupika..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli ndugu yangu hunipendi,walini singizia tu.kutokana nimekulia uswahilini vitu kama hivyo kawaida tu.
Ni wivu tu..
Walikusingizia wakati na video ipo! Sio kwa mbio zile..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Braza unajikuta m'babeeee...hivi unadhani chakorii na vinc watakuunga mkono..??!!!
Wenyewe wamekuchoka na udikteta wako..Sasa Waite tukuchangie
dada mwambie huyo kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…