Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:

BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)

MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)

SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)

MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)

BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)

BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza

MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)

WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)

NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.

Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.
BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mwanangu KENZY, wachunge sana madada zako maana mlinzi kashanambia kuna vinjemba vinawaijia tunapokua kazini, kazi hii nilimpa da vinc mdogo wako bt nadhani anawaonea aibu dada zake...
We ushamaliza yawache Mambo yajipange Kuna mi komamanga naona inataka kuzaa mihogo..😅
 
Braza unajikuta m'babeeee...hivi unadhani chakorii na vinc watakuunga mkono..??!!!
Wenyewe wamekuchoka na udikteta wako..Sasa Waite tukuchangie
Kwanza we kaa kimya kwani nani hajui kuwa jana ulijikojolea kitandani..!!
Waite waje wathibitishe au nimwambie Vinci akachome kwa dingi..?
We leta kiburi tukiburudishe..😂
 
Kwanza we kaa kimya kwani nani hajui kuwa jana ulijikojolea kitandani..!!
Waite waje wathibitishe au nimwambie Vinci akachome kwa dingi..?
We leta kiburi tukiburudishe..😂
🤣🤣🤣🤣🤣 Wacha meneno yako...na ukubwa huu nijikojolee..!!..umeishiwa braza....vinc mwenyewe aliniambia amekufuma jikoni unaonja maziwa ya paka..nimwite aje akuumbueee!!!!...Ila ngoja nikukaushie Kaka mkubwa unatia aibu.
 
Huyo atatulia tu,kwanza hajafanana na mdingi hapo itabidi wakapime DNA.Na itabidi bi mdashi atueleze vizuri hii mbegu kaitoa wapi.Na kwenye ulisi asiji hesabie.
mwanangu MR. IBU ndo kwanza siku 2 umekuja tayari ushaanza malumbano, hebu kaa kwa kutulia na nduguzo hapa ndani....

mwishoni mwa mwezi natarajia nikupeleke kijijini ukawajue bibi yako khantwe na babu yako Daud mchambuzi maana hawakujui, pia na wadogo zako tutaongozana nao.
 
Kwanini hutaki kuamini waakati mtu anaatoka kibaha kuifuata biriani kinondoni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dar kuna ujinga mwingi mnoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama gari limejaa atajibana humo kama mihogo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dingi keshamaliza we mpake mafuta huyo mtu wako kwa mgongo wa chupa..😅
Halafu huyo jamaa si ndo yule alieiba viatu vya watu walikuwa wameingia msikitini..😂
Nyie leteni balaa tu
😂😂😂 kweli ndugu yangu hunipendi,walini singizia tu.kutokana nimekulia uswahilini vitu kama hivyo kawaida tu.
Ni wivu tu..
 
mwanangu MR. IBU ndo kwanza siku 2 umekuja tayari ushaanza malumbano, hebu kaa kwa kutulia na nduguzo hapa ndani....

mwishoni mwa mwezi natarajia nikupeleke kijijini ukawajue bibi yako khantwe na babu yako Daud mchambuzi maana hawakujui, pia na wadogo zako tutaongozana nao.
Ila dingi wanao umewalea kimayai sana sidhani kama watakaa hata wiki huko kijijini.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Wacha meneno yako...na ukubwa huu nijikojolee..!!..umeishiwa braza....vinc mwenyewe aliniambia amekufuma jikoni unaonja maziwa ya paka..nimwite aje akuumbueee!!!!...Ila ngoja nikukaushie Kaka mkubwa unatia aibu.
Naona adabu imeshuka hao madogo walishaniambia wamechoka na wamekinai tabia yako ya kujikojolea wamepanga wakuimbie kindumbwendumbwe..😂

Halafu adhabu yako utapika siku 3 mfululizo Sasa ole wako uunguze kama juzi na ile ita yako ukiivisha ati Rudi nyumbani kumenoga kumbe ndo uliunguza vile..🤣

Hebu mwambie Joanah akupe twisheni ya kupika..
 
😂😂😂 kweli ndugu yangu hunipendi,walini singizia tu.kutokana nimekulia uswahilini vitu kama hivyo kawaida tu.
Ni wivu tu..
Walikusingizia wakati na video ipo! Sio kwa mbio zile..😂😂
 
Braza unajikuta m'babeeee...hivi unadhani chakorii na vinc watakuunga mkono..??!!!
Wenyewe wamekuchoka na udikteta wako..Sasa Waite tukuchangie
dada mwambie huyo kaka
 
Back
Top Bottom